Sizani kama kuna mwenye akili atakubaliana na wewe.
Na hata sijuwi uko Dunia ya ngapi, maisha ya sasa ni wewe mwenyewe kuamua.
Kama unaona tabu kuhudumua basi tafuta mwanamke wa 50/50.
Mnapeana zamu za kupika. kulea, kufua nguo.
Na saivi wanawake nao wanapiginuabhaki yao, wanaume nao wanapaswa kubeba mimba ili kusaidiana majukumu, cos haiwezekani Umpe binti wa watu mimba aweke maisha yake hatari alafu unaona tabu kutoa matumizi.
Yaan unataka umpe mtoto wa watu mimba, akulele watoto, apike alafu unaona tabu kumuhudumia.
Kama unaona tabu basi tafuta wanawake wamefeminist ni wengi, kila kitu pasu, bado tu mwanaume kubeba mimba, maana na wao ndo wanachokitaka.