Tumi Lambo
Member
- Oct 21, 2021
- 63
- 27
Hivi kwa nini tulipe tozo kutumia daraja la KIGAMBONI lilojengwa na siye wenyewe kwa kutumia kodi zetu, hata kama ni mkopo toka nje, huo mkopo unalipwa na kodi zetu.
Wakati viongozi wanatumbua kodi zetu na trip za ulaya na malupulupu ya kishenzi hata kulipa mishahara watu hewa na wafu? TUAMKE KABLA AKILI HAZJAFA KWA KULAZWA.