Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,827
- 40,632
@Marianah pitia huku
👍[emoji57][emoji57]
Mkuu nikuulize swali,we muda wote wote mr anapotaka huwa unampatia?Maskini , ukiona mke kakubali michepuko yako tafakari kwa umakini, hiyo inaitwa stress for what! [emoji1][emoji1]
Ndio, sijawahi mnyima hata Kama sijisikii. Lakini michepuko ya hapa na pale atakuwa nayo . Mboga moja inachosha lohMkuu nikuulize swali,we muda wote wote mr anapotaka huwa unampatia?
[emoji57][emoji57]
Na ahudumiwe kuliko wife,,,,, ukitaka huduma bora basi gharamia KikubwaMchepuko ni suala lisilo epukika kabisa ila inabidi mchepuko awe mzuri sana kuliko wife
Na ahudumiwe kuliko wife,,,,, ukitaka huduma bora basi gharamia Kikubwa