Kwanini tunasoma? Au tunasoma ili tuweje?

Kwanini tunasoma? Au tunasoma ili tuweje?

Joined
Dec 26, 2013
Posts
7
Reaction score
2
Wanajamii, swali hilo nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara; kwamba mtu amesoma tena kafika gazi za juu kabisa mf. (Diploma, Digree Masters) etc.
Bado ametumia mda mwingi kuitafuta taaluma aliyonayo, amtumia mtaji mkubwa kabisa; mtaji ambao huenda uliathiri sehemu kubwa katika familia yake.
Lakini jambo la kushangaza kabisa kwa mtu huyu mwenye ujuzi unaohitajika, eti anapanga foleni kuomba kazi; what does it mean!?
Mi nafikiri tunasoma ili tupate mbinu za kukabiliana na maisha kwa kujiajiri wenyewe, na si kusoma ili tuwe watumwa/vibaraka wa washenzi fulani.
 
Mkuu, mawazo yako yana ukweli kwa sehemu hasa mkazo unapokuwa kubaliana na changamoto za maisha kwa kutumia elimu uliyoipata.

Hata hivyo, si watu wote waliosoma wanaweza kujiajiri au lazima wajiajiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom