Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

Moja ya sababu ni giza. Bendera ni ishara na alama ya uwepo wa ofisi na watendaji wa serikali. Shariti ionekane kwa mbali na bila kizuizi chochote. Hivyo basi kanuni za kupandisha bendera zinaeleza wazi kuwa lazima ipandishwe wakati wa mwanga ili iweze kuonekana vizuri.
Kama hiyo ni mojawapo ya sababu basi imepitwa na wakati. Giza? Dunia ya leo tunaongelea giza?

Pili, bendera ni utambulisho rasmi wa taifa; na taifa muda wote iwe mchana iwe usiku lipo. Ofisi ya serikali iwe mchana iwe usiku ipo kinachokosekana kwa baadhi ya nyakati (usiku!) ni uwepo wa watendaji. Kwa hiyo bendera haipaswi kutambulisha uwepo wa watendaji bali uwepo wa ofisi na taifa kwa ujumla. Yapaswa kupepea muda wote labda mara moja moja ikafuliwe.
 
Anazungumzia giza? mbona kuna taasisi zinafanya kazi nyakati za usiku? na wakati huohuo bendera ya Taifa imeshashushwa.
Lakini mie naona kama nchi yetu historia haijakaa sawa, make ata wale wanajeshi wanaopandishisha bandera yao jioni na kuishusha asubuhi hawajui ni kwanini.
 
Hivi maana ya Amiri Jeshi ni nini? Hasa neno Amiri lina maana gani?
Amir ni neno lenye asili ya Asia Ndogo likiwakilisha jinsi ya kiume na lenye maana zifuatazo:-
(a) Kiarabu/Kiebrania: linatoholewa kutoka herufi tatu AMR; kutoa amri.
(b) Kiarabu: Emir - anayetoa amri.
(c) Kiajemi, Kituruki, n.k.: lina maana zinazofanana na hizo au zinazoshabihiana.
Kiswahili kikiwa na maneno mengi kutoka jamii hizo yumkini neno husika lina maana zinazofanana.
 
Anazungumzia giza? mbona kuna taasisi zinafanya kazi nyakati za usiku? na wakati huohuo bendera ya Taifa imeshashushwa.
Lakini mie naona kama nchi yetu historia haijakaa sawa, make ata wale wanajeshi wanaopandishisha bandera yao jioni na kuishusha asubuhi hawajui ni kwanini.
Asante Mkuu kwa ufafanuzi murua! Mfano mzuri ni mahospitali yakiwemo ya Serikali, bendera zimeshushwa usiku lakini watu wanapiga kazi. Hilo la bendera ya Jeshi kupandishwa jioni na kushushwa asubuhi naungana na wewe; kama ilivyo ya taifa kupandishwa asubuhi na kushushwa jioni, sina hakika kama inaeleweka ni kwanini inakuwa hivyo na kwa wakati ule. Imekaa kimazoea zaidi.
 
how old are you and who was your historical teacher?

swissme
your question is illogical and some sort of non sense, the threader has a well reasoned question, why you are asking for his age does not make sense, and i don't see the relationship between the history of our country and the raising/lowering of the national flag, besides the subject (History) is no where teaching about raising/lowering of the flag, if you were to ask, you probably asked "who was your civics teacher?"
 
your question is illogical and some sort of non sense, the threader has a well reasoned question, why your are asking for his age does not make sense, and i dont see the relationship between the history of our country and the raising/lowering of the national flag, besides the subject (History) is no where teaching about raising/lowering of the flag, if you were to ask, you probably asked "who was your civics teacher?"
WHY "ARE YOU"........
 
Back
Top Bottom