Amiri ni neno la kiaarabu lenye maana ya KiongoziHivi maana ya Amiri Jeshi ni nini? Hasa neno Amiri lina maana gani?
Amiri ni neno la kiaarabu lenye maana ya KiongoziHivi maana ya Amiri Jeshi ni nini? Hasa neno Amiri lina maana gani?
Mtoa mada
Kwanza nikupe historia fupi kuhusu bendera.
Matumizi ya bendera yalianza miaka mingi huko nyuma hasa kwenye mapambano na mapigano ya kivita.
Nchi nyingi zilianza kutumia bendera katika karne ya kumi na nane.
Aina ya bendera,namna ya kuipandisha na kuihifadhi inaongozwa ni swala la kiprotokali zaidi.
Zipo protokali ambazo nchi zote zinafuata.
1. Bendera kuwa na umbo la mstatiri
2. Nguzo ya bendera kuwa wima
3. Heshima na matumizi stahiki ya bendera
Kuna mengi ila kwa sababu ya muda nitamalizia mengine nikifika ofisini.
Tuje kwenye swali
Bendera Za taifa zina mambo makubwa mawili
1. kuonyesha uhuru wa nchi na utambulisho wake.Ukiwa UN hutakuta bendera ya Zanzibar kwa kuwa UN haiitambui Zanzibar kama nchi.
2. kuonyesha mamlaka
Kupandisha bendera asubuhi na kuishusha jioni inafanywa hivi kwa mazoea ambayo nchi nyingi imekuwa nazo.
Bendera kwa kuwa ni alama inapaswa kuwekwa mahali ambapo itaoneka na muda ambao itaonekana.
Hivyo nchi nyingi hazipeperushi bendera usiku kwa sababu ya giza. Mfano India pia wanashusha bendera usiku.
Mfano Marekani wao kama bendera inapepea usiku basi hilo eneo lazima liwe na mwanga wa kuifanya bendera hiyo ionekane la sivyo lazima ishushwe. Kwa waliofika Marekani watakubaliana na mimi hapa.
Note. BENDERA kushushwa usiku haina uhusiano wowote na mamlaka ya Rais wala Jeshi la Ulinzi ni utaratibu wa kiprotokali usioathiri nguvu wala majukumu ya Rais ama taasisi yoyote ya Serikali.
Nitarudi baadaye.
Naomba nipatiwe majibu katika balozi zetu huko katika mataifa mbalimbali ikifa SAA kumi na mbili zinashushwa na Kama zinashushwa je ubalozi wetu nchin Sweden bendera zinashushwa kufuata masaa au nuru kwa maana Sweden Giza ni masaa matatu tuMtoa mada
Kwanza nikupe historia fupi kuhusu bendera.
Matumizi ya bendera yalianza miaka mingi huko nyuma hasa kwenye mapambano na mapigano ya kivita.
Nchi nyingi zilianza kutumia bendera katika karne ya kumi na nane.
Aina ya bendera,namna ya kuipandisha na kuihifadhi inaongozwa ni swala la kiprotokali zaidi.
Zipo protokali ambazo nchi zote zinafuata.
1. Bendera kuwa na umbo la mstatiri
2. Nguzo ya bendera kuwa wima
3. Heshima na matumizi stahiki ya bendera
Kuna mengi ila kwa sababu ya muda nitamalizia mengine nikifika ofisini.
Tuje kwenye swali
Bendera Za taifa zina mambo makubwa mawili
1. kuonyesha uhuru wa nchi na utambulisho wake.Ukiwa UN hutakuta bendera ya Zanzibar kwa kuwa UN haiitambui Zanzibar kama nchi.
2. kuonyesha mamlaka
Kupandisha bendera asubuhi na kuishusha jioni inafanywa hivi kwa mazoea ambayo nchi nyingi imekuwa nazo.
Bendera kwa kuwa ni alama inapaswa kuwekwa mahali ambapo itaoneka na muda ambao itaonekana.
Hivyo nchi nyingi hazipeperushi bendera usiku kwa sababu ya giza. Mfano India pia wanashusha bendera usiku.
Mfano Marekani wao kama bendera inapepea usiku basi hilo eneo lazima liwe na mwanga wa kuifanya bendera hiyo ionekane la sivyo lazima ishushwe. Kwa waliofika Marekani watakubaliana na mimi hapa.
Note. BENDERA kushushwa usiku haina uhusiano wowote na mamlaka ya Rais wala Jeshi la Ulinzi ni utaratibu wa kiprotokali usioathiri nguvu wala majukumu ya Rais ama taasisi yoyote ya Serikali.
Nitarudi baadaye.
Tena niongezeeAmiri ni neno la kiaarabu lenye maana ya Kiongozi
NmekuelewaKuanzia saa 12 asubuhi, mpaka saa 12 jioni nchi inakuwa kwenye himaya ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ndiyo maana ikifika muda huo siyo bendera ya Taifa tu, bali hata ile ya Rais huwa inashushwa kuashiria kuwa sasa TPDF Tanzania people defence foces nchi ipo kwenye himaya yao na bendera ya mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi inapandishwa mara moja.
hiyo unayoiita kuwa bendera binafsi kwa wengine ni daso kama yalivyo madaso mengi tu hakina maana yeyote.
17 yrs madam!How old are you and who was your historical teacher?
swissme
Kumbe usiku nchi tunawakabidhi jeiwiii?Usiku bendera ya jeshi inapepea
Na kwa usahihi hatupaswi kusema AMIR JESHI MKUU, hii hata BAKITA walishalalamikia. Tuchague moja: AMIR JESHI au JESHI MKUU! AMIR na MKUU zina maana sawa.Ninavyojua ni kwamba "amir" ni neno la kiarabu lenye maana ya kiongozi. Hivyo kwenye Kiswahili tumetohoa hilo neno na kuwa Amiri Jeshi Mkuu kwa maana hiyo ni Kiongozi Mkuu wa Majeshi
Nimekaa nikajiuliza hivi kuna sababu gani bendera ya taifa letu la Tanzania kupandishwa asubuhi ya SAA kumi na mbili na kushushwa jioni ya SAA kumi na mbili?
**Hoja hapa inamaanisha ikifika hiyo SAA kumi na mbili nchi ya Tanzania inakuwa haipo?
**Utambulisho wetu muda huo mpaka kesho yake asubuhi unakuwa ni nini?
**Wenzetu nchi kama ya Marekani hawashushi bendera yao siku zote za wiki,mwezi wala mwaka,bendera yao inapepea siku zote 365 usiku na mchana.
**Sioni haja ya kuishusha bendera yetu ya Taifa katika maeneo yote inapokuwapo.
HayaaaRitz,
Rais pia ndio Amiri Jeshi Mkuu
Naomba nipatiwe majibu katika balozi zetu huko katika mataifa mbalimbali ikifa SAA kumi na mbili zinashushwa na Kama zinashushwa je ubalozi wetu nchin Sweden bendera zinashushwa kufuata masaa au nuru kwa maana Sweden Giza ni masaa matatu tu
How old are you and who was your historical teacher?
swissme
Ukitaka kuona wabongo wababaishaji ndo kwenye uzi huu... Swali limejibiwa na watu wasiozid watano, ingawa kuna comment zaid ya 100. Tunaassume tu
Hahah... Ahsante kwa heshima yakoMkuu, umekuna haswaa...bahati mbaya dada angu ameshaolewa..ningekuletea mwenyewe mpaka gheto hahahahah!
Wabongo ujanjaujanja tuu hamna kitu.