Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,910
- 445
Mkanda wa Jeshi la Polisi una rangi gani.Sawa sawa Ritz, sasa kwa nini hiyo bendera ya Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama haipandishwi sehemu zote bendera ya Taifa inaposhushwa, kuashiria sasa nchi ipo chini ya himaya yake?🙁🙁
Halafu unapozungumzia majeshi ya ulinzi na usalama ni mpaka polisi au😵
Mbona maeneo ya vituo vya polisi hawapandishi bendera yao? Au wao siyo sehemu ya jeshi la usalama wa nchi??
