Kwanini tunaoa?

Kuoa ni ubinafsi wa kutaka kusema changu peke yangu...

In reality kila mtu ni wa mtu yoyote yule...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji870]
 
Siku nyingine ukiuliza swali usitoe majibu. Uliza swali tulia tukujibu.

Kunazo sababu tatu za kuoa.
1. Ni agizo. Tumeagizwa hivyo na Mungu. Kila Dini imeagiza hivyo.
2. Kutoshelezana. Kila Dini inakataza zinaa. Mkioana mtatoshelezana.
3. Kuzaa Ili kuendeleza ukoo. Usipozaa ukoo unaishia kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…