Kwanini tunaoa?

Nimetoka zangu Mkoa nipo Dar hapa nakimbizana na vichalii vyangu viwili, kapita hapa katokea pale, unajifanya bize na simu kitanda mara unamkuta mgongoni yaani full raha, haka kakike leo kana birthday ya miaka 2 hapa ni hekaheka tu [emoji851][emoji851][emoji851]

Dogo Ukikua utaelewa
 
Umeandika vizuri sana mkuu, hujagusia dini bali akili ya kuzaliwa tu. Safi sana 👏
 
Kuoa ni ubinafsi wa kutaka kusema changu peke yangu...

In reality kila mtu ni wa mtu yoyote yule...
 
Tushaambiwa tuijaze dunia, alafu tunaleteana mambo ya ndoa...

Ni ubinfasi wa kuhalalisha chuki...
Sasa si ndiyo kujaza dunia kwenye ndoa..
Unaopoa bebe moja Kali mnajaza dunia
 
Mnajaza mkiamua..unataka ukaze behewa eti?
Embu kwanza nihesabu..Nitarudi na jibu😂
Ukaza tu, hakuna muongozo...

Ukimaliza hesabu zako nijuze nikuope muongozo...
 
Hahahahah
Usijali..ila nakuona hapa uko mwishoni kabisa mwa hesabu zangu
Ni vizuri kama baada ya mimi kukawa kuna wengine pia, au kabla yangu pia wawe wengine...
 
Ni vizuri kama baada ya mimi kukawa kuna wengine pia, au kabla yangu pia wawe wengine...
Baada ya wewe Bado Kuna nafasi naziona hapa ..ila huu msafara😂😂
Mambo yangu nibaki nayo mwenyewe
 
Baada ya wewe Bado Kuna nafasi naziona hapa ..ila huu msafara😂😂
Mambo yangu nibaki nayo mwenyewe
Safi sana, kwa hali hii hatutasumbuana...

Hakika, mambo yako baki nayo mwenyewe...
 
Mbona tulisha kubaliana humu ndani kwamba hakuna kuoa...😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…