Kwanini tunaoa?

Ndoa imeandikwa kwenye Agano la kale na Agano jipya pia imeandikwa.

Mwanzo 2 : 21-25

Mathayo 19:3-5
 
Sio lazima kupatikana kwani nimepatikana zaidi ya kuishi kwa shida kipi kingine cha kujivunia

Aisee!!, wewe unahitaji upewe elimu ya Roho ndipo utajua thamani yako kuliko unavyoijua.

Kwanza upate elimu ya roho ya kumjua Mungu, Muumbaji wako ndipo mengineyo yafuate.
 
Aisee!!, wewe unahitaji upewe elimu ya Roho ndipo utajua thamani yako kuliko unavyoijua.

Kwanza upate elimu ya roho ya kumjua Mungu, Muumbaji wako ndipo mengineyo yafuate.
Hiyo elimu isiwe ya kimapokeo
 
Kila mtu afanye anachoona kinamfaa,kwako yakidoda kwa wengine yananyooka,
Narudia ndoa ni tamu sana kama ukimpata mtu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…