MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,072
- 10,172
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Madhara ya kujichua haya.
Madhara ya kujichua haya.
😁mambo ya CHAPUTAAlisumbuliwa na maumivu gani yaliyompelekea ajichue????
CHaPuTakujichua nini??
Anao uwezo wa kuajiri kwanini hafanyi hivyo?Wengine nawasikia kuwa nimechoka kula kwa mama lishe, nimechoka kufua inabidi nioe.
Ukioa si wanasema unalipa malipo mara moja for a lifetime. Ukiajiri kuna mshahara wa kila mwezAnao uwezo wa kuajiri kwanini hafanyi hivyo?
Posa ya mara Moja Kwa maisha Yote hapa duniani na mshahara wa Kila mwisho wa mwezi Kwa maisha Yote hapa duniani Bora kipi??![emoji14]Anao uwezo wa kuajiri kwanini hafanyi hivyo?
Akasema,ukiweza kuishi kama yeye ni vizuri, lakini ukishindwa kuishinda tamaa ya mwili basi oa.Mkuu we Kama hautaki kuoa usishauri wengine wasioe
Akamuumba mwanaume na akamfanyia wa ubavu wa kufanana nae
Tulia kabisa
Vipi kuhusu jamii ZINAZO ruhusiwa kuoa Dada zao,binamu, shangazi,wajomba zao[emoji18]Basi ilikutosha kuuliza tu kwanini tunaoa??.
Mtu ni tofauti na mnyama katika mambo mengi sana na tofauti hizo ndizo zinamfanya aitwe Binadamu vinginevyo bila ndoa basi watu tungeishi kama wanyama na tungejamiiana mithili ya mbuzi, kuku, Punda nk kiholela na ingekuwa ni kawaida kwa Mama kuoana na mtoto wake au baba kuoa binti yake na machafu kadha wa kadha ya aina hiyo hiyo yangetokea, basi ni Mungu ndiye aliyetuwekea sheria za kuoa na miiko yake kwamba nani aoe nani na nani asioe nani ili kujenga jamii bora yenye ustawi na afya.
Hivyo kuoa si kuoa tu bali kuoa kuna ambatana na masharti yake.
Mandiko hayasemi ku oa Moja Kwa Moja.Lakini yanasema kuoa kama ukishindwa kucontrol tamaa ya mwili ndo uoe.kutimiza matakwa ya kimaandiko.
Vipi kuhusu jamii ZINAZO ruhusiwa kuoa Dada zao,binamu, shangazi,wajomba zao[emoji18]