Eti, maana ni lifetime fee eti.[emoji852][emoji852][emoji852][emoji852]yani utafute mke ulipe mahari kwajili ya kufua tu
sawa maandiko yanasema tuowe laikini ni kama sheria za musa zulivyo badilishwa tunahitaji na hizi zilizo wekwa zifanyiwe marekebisho binadamu wamebadilika sana baada ya kuzitumia kwa miaka 2000 zinahitaji zibadilishwe ziende sawa na watu wa dunia ya sasakutimiza matakwa ya kimaandiko.
swali kwanni tunaowa??nimebainisha pia changamoto ya kuishi na mtu maisha yako yote.Hivi swali lako ni: kwanini tunaoa au madhara yatokanayo na ndoa??!!, kwani sijaelewa kwakuwa umegusia kuvunjika kwa ndoa na hapo hapo unazungumzia juu ya mapungufu ya malezi ya watoto na ndoa za mikataba nk.--- Hebu weka vyema mada yako.
NB:: Ni kuoa na sio kuowa.
sawaaUnapokuwa hai kaa tayari lolote linaweza kutokea maisha hayana guarantee sometimes tunauliwa hata na magari tuliyo yanunua kwa bidii zetu wenyewe.
Lakini haitafanya tusinunue magari maana hiyo ni side effect.
Kiufupi tunaoa ila kupata faraja, company na umoja, kwa kuwa tumeombwa ili kuishi in groups ambazo ndo ndoa ukiwa kijana unaweza usione umuhimu wa ndoa ila umri ukienda ndo utaona.
swali kwanni tunaowa??nimebainisha pia changamoto ya kuishi na mtu maisha yako yote.