Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,221
- 28,667
SawasawaZima gari kabisa usipaki tu
SawasawaZima gari kabisa usipaki tu
Vigezo vya wife material huwa sio generic kwa wanaume wote, ni subjective kutokana na taste ya mtu. Mwanamke anaweza kuwa wife material kwako ila kwa mwemzio sio. Sasa unapocopy kwa mwanaume mwenzio labda kwa kuangalia jinsi ana amani na furaha kwenye ndoa akiwa na mwanamke mwenye vigezo fulani, hapo ndo utajikuta unaoa wife material wa mwezio na sio wako na mwisho wa siku lazima utaona ndoa ni ngu
Tatizo sisi wanaume upande mwingine et pale ukihitaji kuoa ndo unaanza kuji shape tabia na Kila kitu ili uonekane Bora kwa uliemchagua na kuficha mapungufu..'kama ulikua bahir utaacha na kumuhonga Sana,utajidai unaona mbali ktk maisha na kumpa mipango isiyoendana na kipato shida tu uonekane unamfaa..upande wake nae lazima atajiweka Kama wew na kuficha matatzo yake..kuwa "really" Kama una ka ujinqa flan muonyeshee nae awe huru akuonyeshee ili upime Kama unaweza mmudu au vp na mkiingia kwenye ndoa Basi mnakua mmekubaliana..,huwezi Seema kabadilika sema mmebadilikiana baada ya Kila mtu kufungua storage yake😃😃na Kama ulimuweka wa kulA Bata kabla hujamuoa then ndani haon Tena hzo Bata zako n changamoto kiongozi!!Habari wakuu
Rejea mada tajwa. Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao(japo wengi hawataki kujionesha), angali kipindi cha kutaka kuoa huwa tunachagua sanaa. Na formulars tunakuwa nazo kabisa kwamba usioe huyu au yule na tunazingatia, lakini kwenye nyumba hali bado ni tete.
Nauliza wabobevu, hivi ni wapi wadogo zenu tunakosea? Inakuwaje tunachepuka na wale micharuko ambao tuliona hawafai kuoa na unaweza kuwapa huduma pengine sawasawa na mkeo au zaidi tena kwa amani!
What went Wrong!
Tr Mpamire voice
Hahahhahaha
Wanaume kwny huu uzi bwn
Eti hamna 'wife material'🤣🤣
Ujue pepo mtaisoma kwny Quran tu na hamtaingia
tataizo kubwa nililokuja kugndua ni kwamba wanaume tuna ufala mmoja hivi wakusema eti usioe mwanamke mrembo utagongewa hahaha. wewe chukua kile roho inapenda basi. hayo masuala ya watu kusasambua mbususu wewe hayakuhusu na huna control nayo kabisa.Mana formula nyingi sana muda wa kuchagua🤣
Hahahahha William yupi huyo mliniozesha tena jmn🤣Hujambo muke ya William? Naona mumeo upara wake unazidi kuongezeka 😂😂😂
Yani Wallahy..tataizo kubwa nililokuja kugndua ni kwamba wanaume tuna ufala mmoja hivi wakusema eti usioe mwanamke mrembo utagongewa hahaha. wewe chukua kile roho inapenda basi. hayo masuala ya watu kusasambua mbususu wewe hayakuhusu na huna control nayo kabisa.
hao wife material wenyewe wanasasambuliwa mbususu sembuse warembo pisi kali
Hahahahha William yupi huyo mliniozesha tena jmn🤣
ahhh hahahah si nkasahauu mi ni Kate
Hahaha
My Future King Habibi of England upara sio tatizo kabisaa😅🤣
Unafanya hayo yote alafu ukimuweka ndani kuna mwamba anakuja kula tunda kimasikharaKuoa ni hivi unaoa yule mtu ambaye first sight umeridhika called you have admire someone.
Ukimfuata akakubalia inaitwa amekuadmire sio kukupenda kavutiwa.
Kingine pia nihiki baada ya hiloo kupitandio mnaanza kudate 1st date mnajuana halafu 2 date mnaanza kupimana if mtafaana 3rd date ndio mnaaenda kula kuanza kale kamchezo tena sio home ka lodge kazuri halafu mkiwezana atakupigia simu .
Demu huwa ndio anapiga simu.
Mwanzo kama unajua mambo then wewe au mnajikuta wote mmepigiana kwa mchezo wa sebene mzuri.
Halafu hapo ndio unaanza kuangalia je nitakuwa naye serious au lah
Chakuangalia afya yake uwezo wa kupata mtoto,je anakupenda,kukudhamini ,kukujali?
Ataweza kukuvumilia?
Amekupenda kwa moyo ?
Au ulivyoo ?
Ulivyo ni mwonekano.
Basi kaa naye kwa miezi ya mwisho uone heshima na mipaka yake kwako .
Ikitiki oa basiii.
Unachanganywaje hapo kwa mf.??
Mangi amesema hana jei F ila atatumia pm yangu kupokelea malipo
Rikiboy kwa fasi ya dwaasi 😂😂😂Unafanya hayo yote alafu ukimuweka ndani kuna mwamba anakuja kula tunda kimasikhara
Nina mdada ananpenda,anajua kupika, na yupo vzur kwny sex. Lakn sura na shape ni mbovu. Afu simpendi kiviiileeeee vp nimchukue??.Kuoa mke ni kuelewana hakunaga wife material.
Ndio maana ukifuata formula unateseka ila ukioa mwanamke uliyemridhia nisawa.
Kuna utofauti wa wife material na mwanadada uliyemridhia how.
1. Mwanadada uliyemridhia niyule ambae akiwepo you feel complite without any complain.
Ila lazima,ajue kupika hicho ndicho cha muhimu na kingine mapenziii.
Mwanaume lazima aridhike na mwanadada kwenye hili suala.
2. Wife material ni yule ambaye umejiwekea ukachuja .
Mwanamke hachujwi sio machicha ya nazi.
Mwanamke anaridhiwa na mwanaume.
Basiii.
Hii humfanya mwanaume afurahie ndoa.
Ila,cha wife material never. Unajidanganya yena ukimwoa mtu kwa hiari yake na yako ni sawa.
Zamani mwanaume anaanza chini hadi juu anaoa leo mnachuja ndio maana,shida mnazipata ndani.
Hujachuja mtu ila tabia,zake na,alivyo.
Ila wakuridhia ni yule ambaye sio tabia tu bali ni mtu husika.
So wife material ni umeoa tabia na jinsi anavyojiweka kwako i hope nimeeleweka.
Hata sijasoma mpaka mwisho coz story unazoletaga hapa jukwaani ..zinaashiria we ni tatizoKuoa ni hivi unaoa yule mtu ambaye first sight umeridhika called you have admire someone.
Ukimfuata akakubalia inaitwa amekuadmire sio kukupenda kavutiwa.
Kingine pia nihiki baada ya hiloo kupitandio mnaanza kudate 1st date mnajuana halafu 2 date mnaanza kupimana if mtafaana 3rd date ndio mnaaenda kula kuanza kale kamchezo tena sio home ka lodge kazuri halafu mkiwezana atakupigia simu .
Demu huwa ndio anapiga simu.
Mwanzo kama unajua mambo then wewe au mnajikuta wote mmepigiana kwa mchezo wa sebene mzuri.
Halafu hapo ndio unaanza kuangalia je nitakuwa naye serious au lah
Chakuangalia afya yake uwezo wa kupata mtoto,je anakupenda,kukudhamini ,kukujali?
Ataweza kukuvumilia?
Amekupenda kwa moyo ?
Au ulivyoo ?
Ulivyo ni mwonekano.
Basi kaa naye kwa miezi ya mwisho uone heshima na mipaka yake kwako .
Ikitiki oa basiii.
Unachanganywaje hapo kwa mf.??
Hadi hapa wewe nitatizooo .Hata sijasoma mpaka mwisho coz story unazoletaga hapa jukwaani ..zinaashiria we ni tatizo
Unatakiwa wote wapendane sio mtu mmoja bado hujaafiki wewe kama weweNina mdada ananpenda,anajua kupika, na yupo vzur kwny sex. Lakn sura na shape ni mbovu. Afu simpendi kiviiileeeee vp nimchukue??.
Mana hawa wadada wengne wenye sura na shape nzuri wana nyodo sana yan
Kipi bora kuoa unaempenda lakn hakupendi au anaekupenda lakn humpendi?
Umegonga penyewe sasa swali je viumbe sie wazito kuweza?Wanaume weng tunaish katika ndoa kwa misuguano Sana sema tukitoka nje na wake zetu tunazuga kuwa na furaha
Makosa ya lishafanyika toka kizaz kwa kizaz mwanamke au mwanaume msafi Ni aliekuwa na bikra pekeee
Huwez ukaniambia uko na furaha wakat mwanamke au mwanaume uliefunga nae ndoa hamjakutana wote mkiwa bikra
Kumbuka wote mlishafanya maagano ya tendo la ndoa mkalibatilisha na watu wengne huko na kumbuka maagano hayo ukishaweka TU kwisha Kaz
Busara Ni kuish tu kwa sababu wote Ni wazinz .watu wanaangalia kupika sijui majukumu ya nyumbani hapana jukumu la mwanamke na mwanaume Ni tendo la ndoa TU hayo mengne yako kwa sababu tunaish.ndio maana kwa Mungu alisema atazaa kwa uchungu na mwengne atakula kwa jasho
Tunaugiza usasa Sana na ujamii Sana kushinda maandiko yanavyosema
Hakuna mwanamke mkamilifu Wala mwanaume mkamilifu mpaka dunia inaisha
NB : KUBALI KUISHI KWA MAUMIVU UNAYO YAPATA NA UKUBALI KUYAPUNGUZA KULIKO KUYAACHA UKAENDA KUPATA MAUMIVU USIOWEZA KUYAPUNGUZA
Hapa naungana na wewe...you are very rightWife material wako generic bana we wala sio subjective kama unavyoongea! Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mjuaji, hakuna anayetaka mke ambae hamsikilizi! Hakuna anayetaka kuoa mwanamke msaliti au malaya! Hamna mwanaume hataki mwanamke mwenye hofu ya mungu. Wanawake wenye hizi sifs wapo miongoni mwenu.. Jaribu kuuliza hizi sifa katika wanaume 10 kama kuna hata mmoja atazikataa!
Kama mwanamke ha fit humo huyo hayupo kwenye class ya wife materials ila utakuta mvulana anafosi tu kwa sababu kapenda matako na sura ya maziwa 😅😅😅 anaweza tumia hata hela kumu intimidate mtoto wa kike tu ili amkubali amuoneshe hizo qualities nilizoainisha hapo awali sababu tu ya nguvu ya pesa mwanamke atamuigizia kwa muda ila when reality hits hawezi kukeep up na unafiki! Ndoa hio lazma ivunjike haraka iwezekanavyo!
Wife materials ni wavumilivu hata kwenye hard times they ride or die partners! Wasio wife materials hela ikikata utajuta kumfahamu😅😂😅
Kwa ustawi wa familia mwanamke anayekupenda zaidi ya unavyompenda ndio hasa anafaa sema umpate atleast unayeweza engage nae kwenye sex bila tatizo maana kwa ambaye unamuona ni dumuzi sana hata kufanya nae mapenz unakosa hamu jua huyo utamtesa bure tu!Nina mdada ananpenda,anajua kupika, na yupo vzur kwny sex. Lakn sura na shape ni mbovu. Afu simpendi kiviiileeeee vp nimchukue??.
Mana hawa wadada wengne wenye sura na shape nzuri wana nyodo sana yan
Kipi bora kuoa unaempenda lakn hakupendi au anaekupenda lakn humpendi?