Kwanini tunaoa so called `Wife materials` lakini bado kwenye ndoa ni majanga?

Vigezo vya wife material huwa sio generic kwa wanaume wote, ni subjective kutokana na taste ya mtu. Mwanamke anaweza kuwa wife material kwako ila kwa mwemzio sio. Sasa unapocopy kwa mwanaume mwenzio labda kwa kuangalia jinsi ana amani na furaha kwenye ndoa akiwa na mwanamke mwenye vigezo fulani, hapo ndo utajikuta unaoa wife material wa mwezio na sio wako na mwisho wa siku lazima utaona ndoa ni ngumu.
 
Vigezo vya wife material huwa sio generic kwa wanaume wote, ni subjective kutokana na taste ya mtu. Mwanamke anaweza kuwa wife material kwako ila kwa mwemzio sio. Sasa unapocopy kwa mwanaume mwenzio labda kwa kuangalia jinsi ana amani na furaha kwenye ndoa akiwa na mwanamke mwenye vigezo fulani, hapo ndo utajikuta unaoa wife material wa mwezio na sio wako na mwisho wa siku lazima utaona ndoa ni ngumu.
Wife material wako generic bana we wala sio subjective kama unavyoongea! Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mjuaji, hakuna anayetaka mke ambae hamsikilizi! Hakuna anayetaka kuoa mwanamke msaliti au malaya! Hamna mwanaume hataki mwanamke mwenye hofu ya mungu. Wanawake wenye hizi sifs wapo miongoni mwenu.. Jaribu kuuliza hizi sifa katika wanaume 10 kama kuna hata mmoja atazikataa!

Kama mwanamke ha fit humo huyo hayupo kwenye class ya wife materials ila utakuta mvulana anafosi tu kwa sababu kapenda matako na sura ya maziwa 😅😅😅 anaweza tumia hata hela kumu intimidate mtoto wa kike tu ili amkubali amuoneshe hizo qualities nilizoainisha hapo awali sababu tu ya nguvu ya pesa mwanamke atamuigizia kwa muda ila when reality hits hawezi kukeep up na unafiki! Ndoa hio lazma ivunjike haraka iwezekanavyo!

Wife materials ni wavumilivu hata kwenye hard times they ride or die partners! Wasio wife materials hela ikikata utajuta kumfahamu😅😂😅
 
Unaweza ukaoa wife material lkn boy akawa haendan na material ya wife wake. Wife mlokole boy kutwa bar unadhan mbungi itakua ya kitoto humo ndan
Ushasema boy! Kinachowaponza ni tamaa ya hongo 😂😂😂 mkiacha njaa mtaolewa na Men!
 
Habari wakuu

Rejea mada tajwa. Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao(japo wengi hawataki kujionesha), angali kipindi cha kutaka kuoa huwa

Tunaambiwa "usikosee kuowa" ....wanaume wengi wanapata tabu inafikia pahala wanaachana.

Vitu viwili shukuru mno katika ndoa
1 Mke mwema
2 Mume mwema
 
Tatizo yenu mnasema hayana kanuni wakti huyo mungu mnaemuomba alishaweka kanuni.
Kanuni namba moja ni simple...no kulana mbususu kabla ya ndoa.
Kanuni namba mbili...mume ampende mke wake kama anavyojipenda mwenyewe.
Kanuni namba tatu. ...mke amuheshimu mume wake.
Cha kuongezea huu ndo ukweli yani uko stamped sema mahusband materials wataupita kama vle hawauoni. Nasema hivi Mungu ameweka sheria na kanuni ambazo zinatakiwa kufuatwa sasa pale ambapo sheria hazifuatwi huwezi kumkuta Mungu ndani ya ndoa.

Mungu ndiye pendo kuu. Kanuni zake hazikufatwa mwanzoni tegemeeni shida itajitokeza tu mkishaingia kwa sababu kuna password hamkubonyeza. Amani upendo kwenye ndoa vitakuja kama mkipatia password ya Mungu..kanuni zake katika vitabu vyake irrespective of the religion.
#tutembeehumo#
 
Inawezekana awali baada ya wewe kuishi naye kama mume na mke ulimuona wife material ila baada ya muda katika harakati za kujipoza poza huko nje ukaanza kulinganisha vitu viwili, ukaanza kuona baadhi ya mapungufu ambayo awali hukuyaona....Na kumbuka mwanamke akidate na mume/mpenzi wa mwanamke mwenzie atakuwa anajitahidi kwa kila hali ili ionekane ulikosea kuoa..

Ama bibie alificha makucha ili apate kile alichokihitaji.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Wife material wako generic bana we wala sio subjective kama unavyoongea! Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mjuaji, hakuna anayetaka mke ambae hamsikilizi! Hakuna anayetaka kuoa mwanamke msaliti au malaya! Hamna mwanaume hataki mwanamke mwenye hofu ya mungu. Wanawake wenye hizi

Kunywa soda kwa mangi halafu mpatie mangi ID yangu nimlipe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom