Kwanini tunaoa so called `Wife materials` lakini bado kwenye ndoa ni majanga?

Shida ni kwamba watu wakishakuwa na uhakika sasa wapo kwenye ndoa wanafanya wapendavyo katika kila kitu, kama ni mwanamke anajua yeye ndo mama mjengo anaongea, anafanya chochote atakacho baba mjengo utarudi tuuu hata unune vipi

Wanandoa wengi wanaishi kwa kuvimbiana chini ya mwamvuli wa ndoa ukiamini unawalinda, wenye moyo mwepesi wanavunja ndani ya wiki, wale wa kuona jamii itawaonaje ndo wanakufa na tai shingoni.
 
Mnacomplicate tu mambo, hiyo micharuko ndo inafaa kuwa mke. Mnapenda kufanyiwa mambo ya kimalaya kitandani hlf mnaenda kuoa ambae hawezi hayo mambo anahisi utamuona Malaya.
 
Kwenye kutaka kuoa mambo kadhaa huangaliwa.
1. Body chemistry- Uzuri wa sura, umbo, sauti, motion, rangi, n.k. wanaume wengi wanaanzia hapa kutamani na akilewa na tamaa anaoa kabisa. Uzuri ukiisha ananza kuweweseka kutafuta mwingine.

2. Character and conduct- hapa ndo mambo ya tabia na mienendo, mwanamke anaweza kuwa sio mzuri wa sura au umbo lakini ni MTU, ana tabia zake nzuri, sio john kiropo, anajua aongee nini na kwa wakati gani, anatunza Mali zake na za mumewe...na mambo mengine ya tabia nzuri unayoyajua.

3. Uchamungu- Mahusiano yake na mola wake. Yakiwa mazuri basi na mke anakuwa hana mashida shida.
Mke akiwa na hofu ya mungu basi hata mkigombana mnaachana kwa wema.

4. Compatibility- hapa tunamaanaisha kule kuendana, unaweza kuwa na mke ila hamuendani kwa mambo mengi, mnabishana hatari, ye anapendelea mambo flani, we unapendelea mambo kadha. Hapo lazima uione ndo chungu. Ile family mission na vision zinakuwa hamna.Kila mtu ana malengo yake. Na sio malengo ya pamoja.

Kikubwa ni kucompromise. Hakuna binadam anaweza kuwa na sifa zote hizo. Mkishardhiana mengine unakausha tu. Mwanake ukishaishi nae kama sio mshirikina, hachepuki, na akawa na kizazi. Mengine unavumilia tu.
 
Kuoa mke ni kuelewana hakunaga wife material.
Ndio maana ukifuata formula unateseka ila ukioa mwanamke uliyemridhia nisawa.
Kuna utofauti wa wife material na mwanadada uliyemridhia how.
1. Mwanadada uliyemridhia niyule ambae akiwepo you feel complite without any complain.
Ila lazima,ajue kupika hicho ndicho cha muhimu na kingine mapenziii.
Mwanaume lazima aridhike na mwanadada kwenye hili suala.

2. Wife material ni yule ambaye umejiwekea ukachuja .
Mwanamke hachujwi sio machicha ya nazi.
Mwanamke anaridhiwa na mwanaume.
Basiii.
Hii humfanya mwanaume afurahie ndoa.

Ila,cha wife material never. Unajidanganya yena ukimwoa mtu kwa hiari yake na yako ni sawa.
Zamani mwanaume anaanza chini hadi juu anaoa leo mnachuja ndio maana,shida mnazipata ndani.

Hujachuja mtu ila tabia,zake na,alivyo.
Ila wakuridhia ni yule ambaye sio tabia tu bali ni mtu husika.
So wife material ni umeoa tabia na jinsi anavyojiweka kwako i hope nimeeleweka.
Umesema hakuna formula

At the same time unatupa maujanja kuwa tuoe mwanamke tuliyemrudhia

Mnazidi kuniacha njia panda kwakweli
 
Wife material wako generic bana we wala sio subjective kama unavyoongea! Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mjuaji, hakuna anayetaka mke ambae hamsikilizi! Hakuna anayetaka kuoa mwanamke msaliti au malaya! Hamna mwanaume hataki mwanamke mwenye hofu ya mungu. Wanawake wenye hizi sifs wapo miongoni mwenu.. Jaribu kuuliza hizi sifa katika wanaume 10 kama kuna hata mmoja atazikataa!

Kama mwanamke ha fit humo huyo hayupo kwenye class ya wife materials ila utakuta mvulana anafosi tu kwa sababu kapenda matako na sura ya maziwa 😅😅😅 anaweza tumia hata hela kumu intimidate mtoto wa kike tu ili amkubali amuoneshe hizo qualities nilizoainisha hapo awali sababu tu ya nguvu ya pesa mwanamke atamuigizia kwa muda ila when reality hits hawezi kukeep up na unafiki! Ndoa hio lazma ivunjike haraka iwezekanavyo!

Wife materials ni wavumilivu hata kwenye hard times they ride or die partners! Wasio wife materials hela ikikata utajuta kumfahamu😅😂😅
Afu saizi sio kama zamani ujue mambo yamebadilika

Saizi watu wanaoa kwa lengo la kuwaridhisha mabestie kutopondwa endapo ataonekana kaoa demu ambaye hana specs za kimjini

Wanasema wanawake wenye tabia nzuri na hofu ya mungu wengi hajaja qualify kigezo hicho

Ni hatari yani
 
Eeh sasa kuwaridhisha mabestie sindio kunaletaga mabalaa maana hauishi na bestie bali kivuruge wako
 
Eeh sasa kuwaridhisha mabestie sindio kunaletaga mabalaa maana hauishi na bestie bali kivuruge wako
Unapochagua mke wa kuoa jambo la kwanza linahusisha interest yako

Afu sa baada ya hapo inafata interest za mabestie unafanya imagination kwa machizi wako watampokeaje huyo shemeji yao je amefit pande zote mbili.

Ukitoka hapo unarudi kwa wake za hao mabestie je wanaelekeana na huyu wako au kuna gape kapigwa?

Baada ya hapo tena unabidi ujiulize, wake za hao masela we binafsi unawaonaje onaje? Je hao machizi wanajivunia kuwatambulisha wake zao kwa watu?

Ukiona kuna gape, wako kazidiwa vitu fulani basi huyo ndo wife material
 
Unapotafuta wife material, jiulize je wewe n husband material?
 
Wengi wa hawa wife material hawako romantic sana, yaani mgegedo unapatikana kwa mbinde, ndiyo hapo wagegedaji tunaamua kuruka na vicheche.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Mbona hiyo mifano ya kuchanganywa humu iko mingi sana!?

Kuoa ni hivi unaoa yule mtu ambaye first sight umeridhika called you have admire someone.
Ukimfuata akakubalia inaitwa amekuadmire sio kukupenda kavutiwa.

Kingine pia nihiki baada ya hiloo kupitandio mnaanza kudate 1st date mnajuana halafu 2 date mnaanza kupimana if mtafaana 3rd date ndio mnaaenda kula kuanza kale kamchezo tena sio home ka lodge kazuri halafu mkiwezana atakupigia simu .
Demu huwa ndio anapiga simu.
Mwanzo kama unajua mambo then wewe au mnajikuta wote mmepigiana kwa mchezo wa sebene mzuri.

Halafu hapo ndio unaanza kuangalia je nitakuwa naye serious au lah
Chakuangalia afya yake uwezo wa kupata mtoto,je anakupenda,kukudhamini ,kukujali?
Ataweza kukuvumilia?
Amekupenda kwa moyo ?
Au ulivyoo ?
Ulivyo ni mwonekano.
Basi kaa naye kwa miezi ya mwisho uone heshima na mipaka yake kwako .
Ikitiki oa basiii.
Unachanganywaje hapo kwa mf.??
 
Kwenye kutaka kuoa mambo kadhaa huangaliwa.
1. Body chemistry- Uzuri wa sura, umbo, sauti, motion, rangi, n.k. wanaume wengi wanaanzia hapa kutamani na akilewa na tamaa anaoa kabisa. Uzuri ukiisha ananza kuweweseka kutafuta mwingine.

2. Character and conduct- hapa ndo mambo ya tabia na mienendo, mwanamke anaweza kuwa sio mzuri wa sura au umbo lakini ni MTU, ana tabia zake nzuri, sio john kiropo, anajua aongee nini na kwa wakati gani, anatunza Mali zake na za mumewe...na mambo mengine ya tabia nzuri unayoyajua.

3. Uchamungu- Mahusiano yake na mola wake. Yakiwa mazuri basi na mke anakuwa hana mashida shida.
Mke akiwa na hofu ya mungu basi hata mkigombana mnaachana kwa wema.

4. Compatibility- hapa tunamaanaisha kule kuendana, unaweza kuwa na mke ila hamuendani kwa mambo mengi, mnabishana hatari, ye anapendelea mambo flani, we unapendelea mambo kadha. Hapo lazima uione ndo chungu. Ile family mission na vision zinakuwa hamna.Kila mtu ana malengo yake. Na sio malengo ya pamoja.

Kikubwa ni kucompromise. Hakuna binadam anaweza kuwa na sifa zote hizo. Mkishardhiana mengine unakausha tu. Mwanake ukishaishi nae kama sio mshirikina, hachepuki, na akawa na kizazi. Mengine unavumilia tu.
Kweli you are smart mkuu
 
Kuoa mwanamke bila kumshirikisha Mungu wakati unachagua wife material ni kujidanganya....
 
Wengi wanataka kupata wenza wakamilifu! Wakati ndoa haina mkamilifu na inahitaji uvumilivu!
Ni kweli mkuu ndoa ni taasisi nyeti sana, kuvumiliana ndo jambo la msingi japo si kila linalokuja linaweza kuvumilika.
 
Mke material pia inategemea na mwanaume mwenyewe, maana kuna wengine mpaka mke anajiuliza nilikosea wapi mpaka kukutana na hili dubwasha? Mseme ukweli kuna wanaume wengine wanaitwa wanaume kwasababu wana mkia si vinginevyo wanawake wanawatunzia siri sana.
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom