jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 461
- 669
Vigezo vya wife material huwa sio generic kwa wanaume wote, ni subjective kutokana na taste ya mtu. Mwanamke anaweza kuwa wife material kwako ila kwa mwemzio sio. Sasa unapocopy kwa mwanaume mwenzio labda kwa kuangalia jinsi ana amani na furaha kwenye ndoa akiwa na mwanamke mwenye vigezo fulani, hapo ndo utajikuta unaoa wife material wa mwezio na sio wako na mwisho wa siku lazima utaona ndoa ni ngumu.