Tulimpinga gaidi yule mwanzo mwisho,akakosa uvumilivu akaamua kutumia mitutu kujibu hoja za viongozi wetu mahili TL na wenzake.Tungefuata upepo tusingempinga Yule dhalimu
Anacheza ngoma tunayopiga sisi.Anatekeleza ilani yetu na maono yetu kwa asilimia 110
Tunaomba kuepuka gharama za u haguzi mama abadikishe Katina pasiwepo na uchaguzi 2025 kwani tunamkubali wote hata sisi wa upinzaniMtu akiwa Rais hata kwa kupindua nchi Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuchaguliwa kidemokrasia Ni Rais huyo,
Akiwa Rais kwa kuiba kura ni Rais huyo.
Mtu aliyekalia kiti Cha Urais Ana Upanga wenye ncha Kali,Ana Maamuzi .
Hivyo akifanya mambo mazuri yanawafikia wote wasio wapinzani na wapinzani,
Akifanya mambo mabaya yanawapata watu wote wapinzani na wasio wapinzani.
Kwa muktadha huu sisi Watanzania kwa pamoja bila kujali chama tulipata mateso sawa kwa miaka mitano iliyopita,na Sasa mama anatuletea faraja Watanzania wote wanaCCM na ambao sio Wana CCM.
Hivyo nafuu ya mateso tunayoipata tuna Haki ya kumpongeza,Kwa sababu anafanya vizuri kuliko yule Bingwa.
Akikosea tutamkosoa,sisi wapinzani sio wanafiki.
Tukipinga mnasema kila kitu tunapinga,
Tukisifu au kupongeza mnasema tumekwisha.
Hata hivyo Leo hii ukija uchaguzi Mkuu Mimi Lee nitaikataa CCM na mambo yake yote,
Na fahari zake zote,
Na hila zake zote.
Tunaomba katiba nzuri na mpya,
Tuanomba tume huru ya uchaguzi,
Tunaomba Uhuru wa shughuli za kisiasa.
Ila anacheza vizuri sana.. At least for nowAnacheza ngoma tunayopiga sisi.
Mtu hawezi kutekeleza baadhi ya Mambo aliuoyapigia kelele siku zote za kampeni Genius Tundu Lisu,halafu leo mama anatekeleza tusimppngezekweli?,Nyie ni bendera fuata upepo!
Tena umenikumbusha haya yote anayoyatekeleza Ni Yale Genius Lissu alikua anayapigia kelele wakati wa Kampeni.Anatekeleza ilani yetu na maono yetu kwa asilimia 110
kweli Mkuu,fikiria magazeti Kama Mwanahalisi,Mawio,Tanzania Daima na mengineyo yalikua yameajiri watu wangapi? Na hivyo alipoteza ajira ngapi?Ila anacheza vizuri sana.. At least for now
Hawa ndio walikua wanaunda The killing squad Sasa wamepoteza ajira.Acha wivu mkuu .kwani tukimsifia wewe unapungukiwa na nini?
Washindwe. Mama kamtanguliza MUNGU hivyo ana haraka zote na wala hajajipa nafasi ya MUNGU kuwa yeye hakosei ndio akikosea anarekebisha bila kuona aibu anajua ye ni binadamu tu na sio mkamilifu.na atafanikiwa kwakuwa anaenda kuruhusu kukosolewa Ili kujirekebishaWasukuma mnaumia sana Mama akipata uungaji mkono toka kwa Wapinzani,tunajua kabisa mnayo movement yenu ya kumhujumu Mama lakini kamwe hamtafanikiwa mashetani wakubwa nyie.
Ameshasema sheria kandamizi zote zipitiwe upyaNi punguani peke yake ndiye anaweza kumsifia Mama kwa sababu bado anaongoza nchi kwa kutumia zile sheria kandamizi za Magufuli.Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa maneno matamu na ahadi za matumaini.Kuongoza nchi kwa maneno matamu na ahadi za matumaini wakati sheria ni mbovu na kandamizi hilo huwa ni changa la macho!
By the way Mama anaonekana aliyoyafanyia kazi hadi Sasa niYale yote yaliyopigiwa kelele na Genius Tundu Lissu wakati wa Kampeni.Mie ni Chadema damu damu lakini KAMWE sitaona aibu yoyote kumpongeza Mama yetu pale atakapofanya mazuri na kumkosoa pale atakapovurunda.
Mama hata mwezi hajamaliza lakini tayari tunasikia kauli zenye utofauti mkubwa sana na zile za dhalimu jiwe. Mwenyezi Mungu ashukuriwe 🙏🏾
Mkuu hivi vijamaa vina roho mbaya Sana,vijitu hivi ndio vilikua vinawaza kumchoma Genius Lisu sindano ya sumu halafu kwa pamoja kabisa Tena kwa moyo mkunjufu kabisa hadharani vikashangilia.Kwa UFINYU wa akili yako kumbuka Tanzania ni yetu SOTE si Tanzania ya Magufuli. Fungua akili yako.
Ndugu yangu tutafika huko,tunampa muda,akichemka wewe mwenyewe Ni shahidi hatujawahi kushindwa kumpinga mwovu yoyote hapa Tanzania.Ni punguani peke yake ndiye anaweza kumsifia Mama kwa sababu bado anaongoza nchi kwa kutumia zile sheria kandamizi za Magufuli.Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa sheria na wala siyo kwa maneno matamu na ahadi za matumaini.Kuongoza nchi kwa maneno matamu na ahadi za matumaini wakati sheria ni mbovu na kandamizi hilo huwa ni changa la macho!
Ni kwamba anakwenda kinyume na mtesi wetu,ndio maana watu wanaona Kama kawaletea nafasi ya kupumua.Ila Samia amekuja na upepo
Hapana itakua sio demokeasia,hata kwenye mfumo wa chama kimoja kiongozi huyo mmoja hupigiwa kura tena,baada ya miaka Fulani I'll kuhakikisha kukubaliwa kwake ama Kama Kuna mabadiliko ya watu wanaomkubali au wanaomkataa.Tunaomba kuepuka gharama za u haguzi mama abadikishe Katina pasiwepo na uchaguzi 2025 kwani tunamkubali wote hata sisi wa upinzani
Lissu ameanza kulalamika mnamtosa!Kama unaona wivu tukimpongeza Rais jinyonge