DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,536
- 1,998
katika hali ya kawaida kabisa binadamu tuna kua kwa kisayaynsi wanaita aging na kila kitu katika mwili wa binadamu kinakua kuanzia moyo na organ zote zinakua na tunavozidi kuishi ndivyo zinapozeeka na kukosa ufanisi wa kufanya kazi sasa mtu anapofikia hatua ya kufariki maana yake kuna mfumo mmoja wa kwenye mwili wake umeshindwa kuafanya kazi na unaingilia mfumo mwingine na mwisho system zote zina zima na hiko ndio kifo.....mtu kwa mfano akiiugua figo kinacho muua sio figo ila ni madhara ya figo kutofanya kazi vizuri na kuingilia mifumo mingine nayo inaharibika na inakosa ufanisi wa kufanya kazi na ikifika system ikashandwa kuafanya kazi kabisa hiko ndio kifoHabari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?
Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.

nje ya bibilia Hakuna Jibu la kweli mkuu.
Yote haya yalianza miaka zaidi ya 6000 hapo mashariki ya kati maeneo ya Iraq. Karibu na mto tigris ilipokaa bustani nzuri
ya Eden. Kwingine kote utadanganywa. Na summary yake ipo kitabu cha mwanzo 1,2,3.
Ukielewa vizuri ndio utauliza maswali mapya.
1:Kwa nini Kiyama?
2:Kwa nini kondoo/ndama alichinjwa mtu akimkosea Mungu?
3:Kwa nini Yesu Afe?
4:Ni nini Dawa ya kifo?
5:Kuna kufa mara ngapi? Kwa nini hupaswi kuogopa kifo hiki tunachokiona sasa (Temporal death)?
😱😱😱1. Biodiversity
Mimea/majani yataliwa na mbuzi na mbuzi tutamla sisi binadamu na sisi inabidi tufe tuliwe na mchwa halafu mchwa waliwe na kuku etc "kufa kufaana"
2. Siri ya uhai anayo Mungu mwenyewe. Hakuna mwanasayansi alieweza kumpatia uhai na kumfanya binadamu kupumua hata maroboti hayatumii roho "roho ni siri ya muumba"
3. Hukumu kwa makosa tuliyofanya ili tukaishi maisha ya milele baada ya kufa. Kuna watu wamechinjwa, wamebakwa, wamekatwa viungo km albino, wamedhulumiwa lazima wapate hukumu ya makosa waliowayo wafanyia wenzao, Haki inabidi ipatikane na sifa ya Mungu ni mtenda haki hana dhulma.
Gari likiharibika tairi tunalibadilishia tairi na mtu akiharibika figo tunabadilisha figo. Binadamu atakapokufa inabidi tumrudishe alipotokea asili ya baba yetu Adam ni udongo.
Mtu akiwa anakufa ...ubongo na cell zake ndio znazoanza kuharibika..tatizo lipo hapo.Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?
Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
Daaah!Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?
Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu akifa anashindwa kufufuliwa, kama tatizo lilikuwa ni figo kufeli kwanini baada ya kufa marehemu akiwekewa figo nyingine hafufuki?
Maana katika maisha ya kawaida kitu kikiharibika kabisa kama vile gari kikiwekewa kitu kipya kinapona na kinarudia hali yake ya mwanzoni.
Hapo ndipo ukomo wa ufikiri wa mwanadamu - Hakuna sayansi hadi leo imegundua namna ya ku huisha cell zilizochoka za mwilini na kuwa mpya....au kuzuia zisizeeke..
Tukigundua ku-huisha cell hizo za mwili zisichoke milele basi tutakuwa tunakaribia kuunda mwanadamu wetu wenyewe...
vifungu katika maandiko matakatifu haviwezi kuwa credible kuliko scientific facts.soma vifungu ktk maandiko matakatifu na si theories za wanasayansi
kaka unaongelea kufufua maiti wakati magonjwa yanayopelelekea watu kufa ndiyo yanaongezeka regardless hiyo sayansi unayosema inapanda kwa kasi sana.kifo ni kitu cha kawaida na muhimu na kipo kwa kila kiumbe hai ili kuweka balance kati ya viumbe hai. Ni asili ya kila kiumbe kuepuka kifo kadri iwezekanavyo lakini kifo pia ni kitu cha asili ambacho kipo kuhakikisha Maisha yanaendelea kuwa mapya na yapo katika usawa. Vitu vinavyosababisha tunakufa na wanayama wengine wanakufa vipo vingi tu.
Kwanini hatuwezi kufufua? ni kwa sababu bado hatujafikia kuwa na technolojia ya kutosha ya kuwa na uwezo huo. Mimi naona uwezekano wa sayansi na teknolojia kukua kiasi cha kuweza kurudisha uhai. wapo watu wanaoamini sana katika uwezekano huu. Hao watu huitunza miili yao vizuri baada ya kifo bila kuharibika wakisubiri teknolojia ikue vya kutosha wafufuliwe. ukitaka kufahamu zaidi soma kuhusu "Cryonics"
wewe umejuaje kwamba kila mtu ana kusudi maalumu?Unapozaliwa unakua umepewa siku zako za kukaa huku duniani kwa maana hiyo unakua na miezi yako kipindi na nyakati za kuepo juu ya uso wa dunia kipindi Chako kiisha hakuna namna lazima uondoke (ufe)
Na ndo kwa maana ukienda makaburini utaona kabisa mwenye kaburi inaandikwa siku ya kuzaliwa na siku ya kufa kuonyesha kwamba ulikua na kipindi Fulani juu ya uso wa dunia
Wakiti tukiwa hai (tunaushi kwa kusudi maalum)
Ile kwamba tunaishi Kuna kusudi kabisa la sisi kuishi na kusudi la kuishi kwako likitimia hakuna sababu ya wewe kuendelea kua hai
Na kwa wakati mwingine kwa kua tunaushi kana kwamba hakuna kusudi la sisi kuishi Basi hapo kifo kinakua karibu Sana
kwanini unasema kitabu cha mwanzo hakidanganyi wakati kitabu cha mwanzo kina makosa yafuatayo:nje ya bibilia Hakuna Jibu la kweli mkuu.