Kwanini tunachambia mikono?

Jaribu kuchambia dodoki ndo utajua tofauti
 

Hizo Gloves zitavalishwa kwenye nini kama sio mikono hiyohiyo? Kichwa cha Habari hakijitoshelezi,
 
Mchunguzi huru umesahau kuweka id yako kuwa una Phd ila kuna mtu kanitonya umekuwa associate proffessor
 
izo gloves utazivaa wapi?nyie ndo mnatutia aibutaifa hili punguani we
 
Kimsingi kinyesi kinachotoka tumboni mwako kinakuwa ni salama(fresh) hadi hapo kitakapo kuwa contaminated na wadudu kama nzi na wengineo hivyo kukishika siyo ishu...
 
mimi siwezi kushika mavi hata siku moja,,, toka nizaliwe sijawai jitawaza kwa mikono!!
 
mimi siwezi kushika mavi hata siku moja,,, toka nizaliwe sijawai jitawaza kwa mikono!!

inamaana mkuu huwa hutawazi? Maana km huchambii mikono sidhani km utaweza kuchamba kwa kiuongo kingine tofauti na mkono. Yaani tangu uzaliwe hujatawaza, hiki nacho ni kipaji kinapaswa kuendelezwa (natania)
 
Mchunguzi huru umesahau kuweka id yako kuwa una Phd ila kuna mtu kanitonya umekuwa associate proffessor

Asante kwa kunikumbusha mkuu, nime edit. Nimekuwa Associate Professor mkuu, hii jamiiforums nzima tupo maprofessor wawili tu (mimi na Kitila Mkumbo )
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…