Kwanini tunachambia mikono?

Mkuu unaweza vile vile kuchambia gunzi la mahindi, uamuzi ni wako!
 
ha ha haaa! Nimeishia kucheka sana. My mind can't stop silly imaginations, anyway...short & clear..hapana!!!teeh!!

nimewaza nimjibu nini and that was the only thing that came out of my mind......

bata ukimchunguza sana huwezi kumla
 
kwani siku zote izo ulizokula m.a.v.i ushawahi kuugua..?tena wewe inaonekana una kale katabia ka kula kucha ndio maana umeuliza hilo swali lako..lakini kwanza ungejiuliza,tusipochambia mikono tuchambie kiungo gani..?
 
Picha ya kuchamba umeiweka vizuri na kuhalalisha wasiwasi wako juu ya afya. Ila sasa hizo gloves zitatengenezwa na nani?
Wenzetu wenye teknolojia ya viwanda na utaalamu wa kutengeneza vitu, hawana tatizo na uchambaji unaouzungumzia kwa sababu wanatumia karatasi laini na kinyesi hakiguswi na mikono yao. Umeandika kana kwamba kule Mbagala au Sikonge kuna wataalamu wataisoma hii thread na kuifanyia kazi.
 
Nimekumbuka enzi za primary, kule shuleni kwetu Murutirima P/S, Nansio; wanafunzi walikuwa wakichamba kwa kutumia angle ya ukuta, te te te teh! Nawewe waweza jaribu method hii.
 
Mtoa mada jina lake na akili zake vinaendana.hv kumbe mawe ukichemsha unapata supu?
 

Chambia ulimi
 
halafu usikute boya kama hili ndio mtaalam wa kwenda chumvini.
 
kwani yesu alikua anachambia nini mkuu?,au tayari walikua na viwanda vya tissue huko?

brother Yesu anakujaje hapa? kama umechoka kuchangia ni heri ukae kimya otherwise unachokitafuta they will grant your wish.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…