Kwanini tunachambia mikono?

Km ww unaona huwezi kuchambia mkono basi chambia kichwa haina tatizo.unauwezo wa kutumia kiungo chochote katika mwili wako ambacho unaona kitakuwa rahisi kuchamba.ni ruksa
 
Shindwa kabisa lazima kuchambia mkono kwa usafi wa eneo husika....unaona ugumu gani kutumia sabani
 
Kaunga, Mwarabu hawezi kukuelewa kuhusu tissue!

umenukumbusha Nilibaatika kuwa mamtoni. kukawana jamaa muislam akawa ana kopo lake bafuni. jamaa wazungu wakazani ni kopola kuweka miswaki. ila nikabidi niwashtue. jamaa wakawa wanalitupa kopo la jamaa. jamaa hakupenda akaleta patashika nikajuta kidogo. ila baada ya kufikiria kama na mimi nisingejua nikawa naweka mswaki kwenye kopo si na mimi ningemaindi pia.
 
Kwa nn hua unakula kwa kutumia mikono leo uogope kuchamba
 
Naona umepona sasa,baada ya kipigo kutoka kwa wajeda,hamna manundu tena.
Wife anaendeleaje na mkono?
 
Tumia ----- na pilipili ndo utapata majibu kwanini mikono na sio kichwa
 
Wandugu, mwachambia mkono au mwachamba na mkono, mie nyote siajawaelewa.
 
Supu ya mawe ukiugua kipindupindu wanasema umekula ma.vi ni kweli kabisa. Tumia kwanza toilet paper/tissue paper halafu osha na mkono wa kushoto. Baada ya hapo nawa na sabuni za bafuni kama dettol (any medicated soap). Kabla ya kula hakikisha pia unanawa na sabuni halafu unafuta mikono na tissue paper au kitambaa safi.
 
kama unauonea huruma mkono wako waweza tumia gunzi MKUU.
au ukimaliza unasota kwenye pembe ya mlango kwenye kile kijiufito cha frem ya mlango
 
Maji na sabuni ndo njia salama kabisa kwa kutumia mikono yetu, tissue hubakisha uchafu.
unatakiwa ukate kucha zako, na kabla ya kula unawe mikono.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…