KWANINI TULIDANGANYWA OBAMA NI MKENYA.
#DUNIAYAKO3
Obama Sr. anatajwa kama ndiye baba yake na Obama, LAKINI kwa herufi KUBWA, kuna ambaye anaye tajwa kama ndiye hasa baba yake na Obama na siyo Obama Sr.
Kama huyaamini macho yako, basi iko shida kubwa. Mwenye macho haambiwi tazama, jamani ni yupi baba wa Obama kati ta Barack Obama na Frank Davis?
Mama yake na Obama, Ann alipokuwa na miaka 17 alikuwa ni mfuasi wa sera za kimaksi (Marxism) na ndivyo alivyo kuwa baba yake mzazi pia. Kipindi hicho alikuwa ni rafiki na mtu aliyeitwa Frank Marshall Davis, mwanamama Ann akawa ana mahusiano ya kingono na wanaume wawili, yaani Frank Marshall Davis na Obama Sr. Katika kipindi cha mahusiano na wanaume hawa wawili ndipo alipo pata ujauzito wa Barck Obama.
Ann akasema ujauzito huo ni wa Mkenya mfuasi wa Makzist ndiye aliyempatia ujauzito huo, na ambaye jina lake ni Barck Obama au Barack Sr.
Kwanini basi Obama na wale wote qwanao ujua huu ukweli waliamua kunyamaza juu ya hili na kumsingizia Mkenya kuwa yeye ndiye Baba?
Lakini unapo mtizama Obama Sr. Na Obama Jr. Huoni hata kwa mbali kwamba wanafanana au kuhusiana kwa lolote, lakini ukimtazama Barack Jr. Na Frank M Davis, pumzi zitakuishia, ni copy right ya mwenzake.
Wanasema mtoto wa kukataliwa anakopi kila kitu, ndivyo alivyo fanya Obama kwa Davis. Chako chako tu, hata ukatae vipi. Tizama pua ya Davis na Obama, tizama midomo yao, tizama masikio, tizama bapa la uso na kope za macho yao, linganisha vitu hivyo na huyo jamaa wa Kenya! Kha!
Naweza kuendelea zaidi na zaidi juu ya baba yake Obama kuwa siyo Obama Sr. Bali ni Frank M. Davis, kwa kukusaidia pitia kumbukumbu hizi, tafuta kitabu kilicho andikwa naDavid Maraniss kinacho kwenda kwa jina la Barack Obama: The Story, tembele wovuti huu
THE ASTUTE BLOGGERS: Search results for STANLEY ANN DUNHAM
na huu
Obama & Hitler From No Where: Thats How Rothschild Likes It.
Mwaka 1967 Dunham alielekea Indonesia akiwa na Obama, kipindi hicho alianza kufundisha some la kingereza kwenye ubalozi wa Marekani Jakarta ambapo pia ilikuwa ni eneo lenye vituo vikubwa vya CIA. Mama yake na Obama alikuwa akifundisha somo la kingereza kwa ajili ya USAID ambayo nayo ni moja ya taasisi zinazotumiwa na CIA kama kivuli cha kufunikia kazi zao mbalimbali katika nchi tofauti tofauti.
USAID ndani ya Indonesia ilikuwa ni kivulicha shughuli za CIA. Dunham pia alikuwa akifanya kazi na mashirika ya Ford Foundation, World Bank, Asian Development Bank, Asian Development Bank, Bank Rakyat.
Mwaka 1971 USAID ilitoa fungu kwenye kile kilicho fahamika kama ‘Centre for Vietnam Studies’ katika chuo kikuu cha kusini cha Illinois ambacho kilishutumiwa kuwa ni miongoni mwa vivuli ambavyo CIA inavitumia kufichia kazi zake chafu.
Shirika hilo la USAID lilitoa fungu kwa mradi mwingine ulio fahamika kama Midwest Universities Consortium for International Activities (MUCIA) ambao ulihusisha vyuo vya Illinois, Wisconsin, Minnesota, Indiana na Michigan State ambavyo navyo vilishutumiwa na CIA kwa ajili ya kufanikisha miradi yake ukiwemo ule wa ‘agricultural education’ nchini Indonesia, na ‘miradi’ mingine kwenye nchi za Afghanistan, Mali, Nepal, Nigeria, Thailand, na Vietnam Kusini. Madai haya yalikuja mwaka 1971 mwaka ambao Ann Dunham alikuwa akifanya kazi kwenye shirika la USAID nchini Indonesia.
Julai 10 mwaka 1971, New York Times liliripoti kuwa USAID na CIA wanashutumiwa kwa kupoteza dola za Marekani bilioni 1.7 zilizotumika vibaya katika mpango uliofahamika kama Civil Operations.
Niambie inahitaji tarumbeta na safari za kwenda kwa bibi Kenya kuthibitisha Davis ndiyo baba wa Obama?
Kula pozi kwanza upate nguvu ya kusoma post ijayo.
View attachment 966816View attachment 966817View attachment 966819