Kwanini tuamini tume ya Prof. Mruma na sio TMAA?

Maamuzi yameishafanywa tume ya pili ya nn tena. Hawawezi kuja na majibu ya kumpinga mkuu kwenye maamuzi ambayo yameishafanyika
Kwa taarifa yako zipo tume tatu,,hyo moja ni hatar sana wala haitangazwag hadharan,,kuna sababu ziliwekwa kwa tume zote so msiwe na haraka mambo ndo kwanza yanakuja
 
Acacia Lazima washinde kwa kuwa TMAA ni ya Serikali na Hata Kama data za TMAA so sahihi sio kosa la Muekezaji,

sasa tulitaka Wazungu wasiamini Agency ya Serikali iliyoundwa kihalali waamini kitu gani?

Hii ni Kama Dowans tulishangilia kuvunjwa kwa Mkataba Matokeo yake fidia tuliyowalipa ni kubwa kuliko hata Bei ya Umeme ambao wangetuuzia
Mkuu ata acacia wanaogopa yale makontena pale bandari nahisi waliwekewe mtego na wameingia kichwa kichwa ndio maana jpm hana wasi wasi kabisa.

Na ndio maana acacia kila kukicha wanakuja na jipya na vitisho vingi na kuwatumia maswahiba wao tofauti tofauti kama vile chenge, werema etc.

Na gazeti la Rostam Aziz la mtanzania na ukijua uyu jamaa anahisa zake uko acacia.

Na Tanzania daima kwasababu wamekuwa washirika wa mafisadi sasa.
 
STAMICO walishafanya tafiti juu ya Kiwango cha Madini yaliyopo Bulyanhulu na huko Buzwagi toka enzi za mwalimu Nyerere kabla hawa Barick hawajatia mguu hapa nchini!!, kwa hiyo ni kiasi cha kucompare data tu kuona kama zinashabihiana na data za Tume
 
Mkuu ata acacia wanaogopa yale makontena pale bandari nahisi waliwekewe mtego na wameingia kichwa kichwa ndio maana jpm hana wasi wasi kabisa.

Na ndio maana acacia kila kukicha wanakuja na jipya na vitisho vingi na kuwatumia maswahiba wao tofauti tofauti kama vile chenge, werema etc.

Na gazeti la Rostam Aziz la mtanzania na ukijua uyu jamaa anahisa zake uko acacia.

Na Tanzania daima kwasababu wamekuwa washirika wa mafisadi sasa.

Tusije tu kumruka Magufulu tukianza kuminywa kulipa gharama za tunayosifia Kama tulivyomruka Kikwete alieamua kutekeleza ushauri wa Bunge na Public kuvunja Mkataba wa Dowans kwa hoja 'tunaibiwa ' maana Sie Watanzania ni Wanafiki kweli kweli!
 
Ukiwa na akili Timamu unapaswa kujua jinsi ya taratibu zilivyo!

Kwa Mwekezaji ikiwa alifuata utaratibu uliomuelekeza Wewe Mwenyewe kuwa lazima Madini yapimwe TMAA na TMAA ni ya Serikali yenyewe na Mwekezaji akatekeleza hayo Maelekezo yako halafu unakuja kugundua hiyo TMAA iliyoundwa Ina Mapungufu may be haina waadilifu au Watu wenye Weledi sasa Hilo kosa lako inakuaje liathiri Shughuli za Mwekezaji ambae hahusiki kwa namna yoyote na hiyo Wakala?

Ni Sawa na Mwekezaji apate Faida kwny Biashara zake halafu aanze utata kwny kulipa kodi ya Mapato eti kwa kuwa Alikuwa na Watumishi wasiowaaminifu wakaiba ile Faida , Wewe Kama Serikal hilo halikuhusu

Mlalamikaji Mkuu kwny hii issue ni Rais, alieunda Tume ni Rais , aliegharamia Tume ni Rais sasa Wewe ulitegemea Jibu gani?

Wanasheria wana Maemo wao ' The Justice shouldn't be done but must be seen to be done'

Kabla Tume haijaleta Majibu Kila Mara Rais amekuwa anasema tunaibiwa sasa ulitegemea jibu tofauti?
Rais hakupaswa kulalamika kuwa tunaibiwa ilhali vyenzo anazo za kukabiliana na tatizo lililopo na ndicho alichokifanya...amechukua hatu mathubuti kabisa kwa hili.
Tatizo la rasilimali kuibwa lilipigiwa lilipigiwa kelele na wapinzani miaka nenda miaka ruda, sasa kwa kuwa imepatikana serikal inayosikiliza na kutafuta ufumbuzi wa vilio hivyo lawama na makelele yanaelekezwa kwa serikali.
Binafsi kwa hili mtazamo wangu utabaki pale pale pale kuunga mkono mapambano haya hata kama itabidi nguvu kutumika.
 
Issue sio kuunga Mkono, hata tuunge Mkono Watanzania wote 45 Million kwny Masuala ya kisheria hawaamui kidemkrasia kuwa wangapi wanasema Ndio na wangap wanasema hapana!

Tutakuja kutuhumu Mawakili wa Serikal yetu kuwa walihongwa kutoitetea Vyema kwny Mahakama ya Kimataifa ya Kibiashara Kumbe sio
 
Maamuzi yameishafanywa tume ya pili ya nn tena. Hawawezi kuja na majibu ya kumpinga mkuu kwenye maamuzi ambayo yameishafanyika
Tume ya pili ya wachumi na wanasheria watakuja na majibu ya kipi tuwafanye hawa acacia
 
Kwa taarifa yako zipo tume tatu,,hyo moja ni hatar sana wala haitangazwag hadharan,,kuna sababu ziliwekwa kwa tume zote so msiwe na haraka mambo ndo kwanza yanakuja
Yes ipo nyingine invisible ndio nimekumbuka mheshimiwa rais alisema
 
Tusije tu kumruka Magufulu Kama tulivyomruka Kikwete alieamua kutekeleza ushauri wa Bunge na Public kuvunja Mkataba wa Dowans kwa hoja 'tunaibiwa ' maana Sie Watanzania ni Wanafiki kweli kweli!
Hapana mkuu naomba tumpongeze mheshimiwa rais na sio kubeza. Pamoja tutafika tu. Nchi ipo mikono salama
 
Issue sio kuunga Mkono, hata tuunge Mkono Watanzania wote 45 Million kwny Masuala ya kisheria hawaamui kidemkrasia kuwa wangapi wanasema Ndio na wangap wanasema hapana!

Tutakuja kutuhumu Mawakili wa Serikal yetu kuwa walihongwa kutoitetea Vyema kwny Mahakama ya Kimataifa ya Kibiashara Kumbe sio
Kitu gani kinakuaminisha kwamba tutashindwa kesi...ikiwa mkurugenzi wao/ceo wao amesema ndio wamevurunda?
 
Rais hakupaswa kulalamika kuwa tunaibiwa ilhali vyenzo anazo za kukabiliana na tatizo lililopo na ndicho alichokifanya...amechukua hatu mathubuti kabisa kwa hili.
Tatizo la rasilimali kuibwa lilipigiwa lilipigiwa kelele na wapinzani miaka nenda miaka ruda, sasa kwa kuwa imepatikana serikal inayosikiliza na kutafuta ufumbuzi wa vilio hivyo lawama na makelele yanaelekezwa kwa serikali.
Binafsi kwa hili mtazamo wangu utabaki pale pale pale kuunga mkono mapambano haya hata kama itabidi nguvu kutumika.
Ila watanzania tuna nongwa sana angenyamaza kimya tungesema kajifungia anataka kuchakachua. Sijui jema lipi atakalolifanya mheshimiwa rais litakubalika?
 
Hapana mkuu naomba tumpongeze mheshimiwa rais na sio kubeza. Pamoja tutafika tu. Nchi ipo mikono salama

Nyerere alikuwa na dhamira safi sana kuliko Rais yeyote hapa Nchini lakin Nchi ilimshinda kwa kuwa dhamira peke yake bila ya approach huwezi kufanikiwa!

JPM pia ana dhamira Pengine kwa dhamira baada ya Nyerere anafuata JPM lakin dhamira bila ya approach pia hawezi kufanikiwa!
 
Wadau baada ya kufuatilia sakata la Gold/copper concentrate za Acacia toka majuzi ,nina maswali machache.

1. Nini chanzo? Ni nini kilichomfanya rais azuie usafirishaji wa haya makinikia kwenda kuchakatwa ng'ambo?
How credible was this source of information to be trusted for such big decision?

2. Mpaka sasa tuna data za TMAA na tume ya Prof Mruma. Tuamini data zipi na Kwanini ?

3.Kwanini bodi ya TMAA imevunjwa bila kupewa nafasi ya kutetea data zake?

4.Kwanini prof Muhongo amefukuzwa kazi?

5.Ikitokea Data za tume ya Prof Mruma ni za uongo itakuwaje kwa maamuzi yaliyokwisha fanyika?

6.Kama Acacia watatupeleka mahakamani na wakatushinda, mlipaji halali wa fidia atakuwa CCM au watanzania wote?

7.Kama rais akiweka rekodi ya kufanya maamuzi ya kufuatana yaliyoenda mrama, hakuna nafasi yoyote ya kuchukua hatua dhidi yake? Yani kumtumbua rais? Au yeye tu ndio ana haki ya kutumbua?

1.Kama huzijui sababu za kuzuia mchanga hata ukielezwa utazikataa bora uendelee kujifanya huzifahamu

2.Kwa kuwa unajifanya hujui sababu za kuzuia mchanga endelea kuamini data za TMAA

3.Unaishi nchi gani ? Nape,Kitwanga,Lowasa walipewa nafasi ya kujitetea?

4.Prof Muhongo amejiuzulu au amefukuzwa?.Prof Muhongo aliteuliwa na Raisi na huyu huyo Raisi ameamua kumuondoa

5.Huitambui tume ya Prof. Mruma sidhani kama unapaswa kuiongelea

6. Anayelipa deni la IPTL ndio atakayelipa hilo deni

7.Katiba inaruhusu ukiwashawishi wabunge wampigie kura ya kutokuwa na imani nae
 
Mleta mada ni mnafiki na limbukeni wa karne..... Rais wetu anao uwezo wa kikatiba kuhoji utendaji wa entity yoyote ya serikali na anaruhusiwa kufanya review atakayoona inafaa kwa manufaa ya nchi.
Na ndicho MH JPM alichofanya hakuridhishwa na utendaji wa hiyo TMAA na hiyo ni haki yake kikatiba huo upumbavu mwingine kajadili na aliyekutuma....!
Nyie vimada wa ACACIA eleweni JPM ni RAIS wa Tanzania !!
mkuu mbona unatukana watu ovyo,vipi hujanywa chai nini,au umefunga?.

Ha ha ha,i see nilikuwa nimekutukana vibaya sana lakini kabla sikabonyesha send roho mtakatifu akanijia akanambia hii response inaweza kuniletea matatizo,either ban,

ama nayemjibu anaweza kuwa makilikili nikajikuta ndani ya mfuko wa sulphate nikielea elea huko Ruvu juu,
nikaamua kudelete.

Mkuu jifunze kuheshima maoni ya wenzako kama yako yanavyoheshimiwa humu
 
Mleta mada ni mnafiki na limbukeni wa karne..... Rais wetu anao uwezo wa kikatiba kuhoji utendaji wa entity yoyote ya serikali na anaruhusiwa kufanya review atakayoona inafaa kwa manufaa ya nchi.
Na ndicho MH JPM alichofanya hakuridhishwa na utendaji wa hiyo TMAA na hiyo ni haki yake kikatiba huo upumbavu mwingine kajadili na aliyekutuma....!
Nyie vimada wa ACACIA eleweni JPM ni RAIS wa Tanzania !!
mkuu mbona unatukana watu ovyo,vipi hujanywa chai nini,au umefunga?.

Ha ha ha,i see nilikuwa nimekutukana vibaya sana lakini kabla sikabonyesha send roho mtakatifu akanijia akanambia hii response inaweza kuniletea matatizo,either ban,

ama nayemjibu anaweza kuwa makilikili nikajikuta ndani ya mfuko wa sulphate nikielea elea huko Ruvu juu,
nikaamua kudelete.

Mkuu jifunze kuheshima maoni ya wenzako kama yako yanavyoheshimiwa humu
 
Wadau baada ya kufuatilia sakata la Gold/copper concentrate za Acacia toka majuzi ,nina maswali machache.

1. Nini chanzo? Ni nini kilichomfanya rais azuie usafirishaji wa haya makinikia kwenda kuchakatwa ng'ambo?
How credible was this source of information to be trusted for such big decision?

2. Mpaka sasa tuna data za TMAA na tume ya Prof Mruma. Tuamini data zipi na Kwanini ?

3.Kwanini bodi ya TMAA imevunjwa bila kupewa nafasi ya kutetea data zake?

4.Kwanini prof Muhongo amefukuzwa kazi?

5.Ikitokea Data za tume ya Prof Mruma ni za uongo itakuwaje kwa maamuzi yaliyokwisha fanyika?

6.Kama Acacia watatupeleka mahakamani na wakatushinda, mlipaji halali wa fidia atakuwa CCM au watanzania wote?

7.Kama rais akiweka rekodi ya kufanya maamuzi ya kufuatana yaliyoenda mrama, hakuna nafasi yoyote ya kuchukua hatua dhidi yake? Yani kumtumbua rais? Au yeye tu ndio ana haki ya kutumbua?
1. Nini chanzo? Ni nini kilichomfanya rais azuie usafirishaji wa haya makinikia kwenda kuchakatwa ng'ambo?
How credible was this source of information to be trusted for such big decision?
Wasiwasi ndio akili, tafuta ile clip wakati kabla hajawa Rais akizungumzia kua tunaibiwa sana kwenye hii sekta, kuna haja ya kufunga smelter hapahapa

2. Mpaka sasa tuna data za TMAA na tume ya Prof Mruma. Tuamini data zipi na Kwanini ?
Maamuzi ya Mwisho ndio yanakua sahihi, TMAA ishavunjwa means hawakua sahihi

3.Kwanini bodi ya TMAA imevunjwa bila kupewa nafasi ya kutetea data zake?
Unajuaje kama hawajatetea??

4.Kwanini prof Muhongo amefukuzwa kazi?
Sababu TMAA iko chini yake na imeshindwa ku-perform

5.Ikitokea Data za tume ya Prof Mruma ni za uongo itakuwaje kwa maamuzi yaliyokwisha fanyika?
Tafiti hupingwa na tafiti, so unamaanisha kua iunde tume ingine kuichunguza tume ya Prof. Mruma

6.Kama Acacia watatupeleka mahakamani na wakatushinda, mlipaji halali wa fidia atakuwa CCM au watanzania wote?
Na kama Acacia watatupeleka mahakamani na tukawashinda, mlipwaji halali wa fidia atakuwa CCM au watanzania wote

7.Kama rais akiweka rekodi ya kufanya maamuzi ya kufuatana yaliyoenda mrama, hakuna nafasi yoyote ya kuchukua hatua dhidi yake? Yani kumtumbua rais? Au yeye tu ndio ana haki ya kutumbua?
Aisee si kwa Rais huyu, alishasemaga mhimili wa IKULU umechimbiwa zaidi kuelekea chini kuliko mihimili mingine, wenye akili tulimuelewa. Zidumu Fikra sahihi za Rais
 
Wadau baada ya kufuatilia sakata la Gold/copper concentrate za Acacia toka majuzi ,nina maswali machache.

1. Nini chanzo? Ni nini kilichomfanya rais azuie usafirishaji wa haya makinikia kwenda kuchakatwa ng'ambo?
How credible was this source of information to be trusted for such big decision?

2. Mpaka sasa tuna data za TMAA na tume ya Prof Mruma. Tuamini data zipi na Kwanini ?

3.Kwanini bodi ya TMAA imevunjwa bila kupewa nafasi ya kutetea data zake?

4.Kwanini prof Muhongo amefukuzwa kazi?

5.Ikitokea Data za tume ya Prof Mruma ni za uongo itakuwaje kwa maamuzi yaliyokwisha fanyika?

6.Kama Acacia watatupeleka mahakamani na wakatushinda, mlipaji halali wa fidia atakuwa CCM au watanzania wote?

7.Kama rais akiweka rekodi ya kufanya maamuzi ya kufuatana yaliyoenda mrama, hakuna nafasi yoyote ya kuchukua hatua dhidi yake? Yani kumtumbua rais? Au yeye tu ndio ana haki ya kutumbua?
Hiyo namba 7 hiyo!? Unataka kuchochea kitu gani hapa? Hili jambo ndo limetolewa taarifa ya kwanza na hatua za mapema zimechukuliwa.
Hebu tulieni kwanza jamani maana miluzi hii ni too much
 
Back
Top Bottom