Kwanini TFF inakaa kimya ushirikina wa Simba?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
TFF na Simba kuna uhusiano gani? Simba inaonyesha waziwazi kuwa inafanya ushirikina kwenye michezo lakini Bodi ya ligi na TFF wanajifanya hawaoni kitu; tena inazilazimisha timu nyingine zikutane na ushirikina wa Simba kwa kuzipa faini timu zinazojitahidi kukwepa kukutana na ushirikina wa Simba.

Hata CAF walishaiadhibu Simba kwa ushirikiana lakini TFF haikutoa adhabu yoyote.

Ona wazee wa Simba wanamshinikiza meneja wa uwanja akae pembeni ila Simba wafanye ushirikina wao uwanjani waifunge Al-Masry. Simba wamemwaga vitu visivyoeleweka uwanjani hadi Al masry ikawalazimu waogope kuingia uwanjani kupitia lango la kupia lakini Tff imekaa kimyaaa kama vile haipo.

TFF hii haina hadhi
 
20250409_110855.jpg
 
Karia ni Simba
WILFRED Kidau ni Simba
Steve Nguto ni Simba
Viongozi wote wa Soka la bongo ni Simba
 
Meneja wa uwanja ajirekebishe:
Asiweke hisia zake kwenye kazi yake:
Ushindi wa Simba kimataifa ni heshima kwa nchi yetu:
Unaongeza pato la taifa kwa Utalii, Mapato, na kupandisha ubora wa ligi yetu:

Leo tuna timu kwa mala ya kwanza ipo port one Afrika: Simba:

Leo tuna timu ipo namba 4 kwa ubora Afrika: Simba:

Meneja wa uwanja nakuita mala tatu:
 
Back
Top Bottom