Kwanini TFF imeruhusu Simba kusajili makocha vihiyo?

Mmeshaanza kutafuta visingizio
Kwani ni uongo? Djuma, Aucho sio wachezaji wa mchezomchezo wa kuwakosa kwenye mechi, ni sawa na Simba bila Chama na miquissone kwenye mechi, Barcelona bila Messi
 
Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano yake.

Swali hapa ni je, TFF yetu hawazijui kwa kiasi gani sheria na kanuni za CAF na FIFA? Na kama wanazifahamu zote ni kwanini imewawia vigumu kuwazuia Gomez na Matola kufanya kazi Simba kutokana na vyeti vyao kuwa hafifu?

Tukio hili limeimbua Simba na TFF kwa pamoja, linapigilia msumari wa mwisho kwenye uthibitisho wa tuhuma za Karia na TFF kuipendelea sana Simba kiasi Cha kushindwa hata kuionya na kuikatalia chochote.

Tunaunganisha dots za viporo vya Simba, ratiba rafiki za Simba kwenye ligi, adhabu za Yanga na uhamisho wa Morrison.
Wako qualified

Bahati mbaya uefa changed their standards and it affected kocha wa simba

Tatizo hamfuatilii habari… mko busy kutype
 
Mudi anaokota makocha wa ndondo ulaya anawaleta Makolo fc
Tatizo ni TFF ambayo inatakiwa kuseti standards za soka la Tanzania. Utaruhusu vipi kocha mgeni mwenye elimu ndogo kuja kufanyakazi Tanzania?
 
Mleta mada ana hoja ya kujibiwa. Kwa nn tunapiga kelele shule kuajiri walimu wenye sifa na elimu kubwa kuwafundisha watoto wetu?

TFF haiwez kulikwepa hili.
 
Wako qualified

Bahati mbaya uefa changed their standards and it affected kocha wa simba

Tatizo hamfuatilii habari… mko busy kutype
HAPANA, uefa inahusika vipi na CAF? TFF ndiyo inatakiwa kuwa whistle blower kwa timu zake kama Kuna mjadala wowote kati ya TFF, CECAFA, CAF, uefa au FIFA unaoendelea ambao unaweza kuathiri timu zake. Haiwekani CAF ibadili uelekeo ghafla bila TFF kujui genesis yake hadi pale Simba inapoumbuliwa. TFF haikuwa na fununu?
 
Google radio programs zote za last week waliongelea kubadili uefa grade A certificate to uefa pro license na athari zake

tff haihusiki
 
Hii aibu huwezi kuificha kwa aina hiyo. Gomez kibarua Simba kimeishia hapo kwa aibu na hatapenda kuwa kwenye benchi. Prof Nabi Yuko tayari kumfundisha hadi afuzu.

Kwanini TFF? TFF inaingia hapa kwa kuruhusu makocha wa kigeni wenye sifa hafifu kufanyakazi Tanzania hasa kwenye timu kubwa ambazo zinatoa wachezaji wa timu ya taifa. Wachezaji wetu wa taifa stars wanategemea kupata mbinu na uwezo wa mpira kutoka kwenye club zao, hivyo inakuwa garbage in garbage out.

Ona Prof. Nabi alivyombadilisha na kuformat kichwa na uwezo wa Fei Toto hadi akawa msaada kwa timu ya taifa. Gomez anapata matokeo kwa kutumia coincidence ya wachezaji kukaa pamoja kwa muda mrefu, wachezaji kupata mbinu kutoka kwa Sven na ausseum, mo kuleta wachezaji wazuri na TFF kuwa nyuma ya Simba. Gomez ana fluke TU kupata matokeo

Ungejibu kwanza niliyokuuliza na siyo huo utopolo wako!

Haya huyo unayesema ni Prof unaona alichofanya leo, mmechapwa huko pamoja na kubebwa kote!?

Prof anafanya subs za ajabu hazieleweki mwisho litimu lenu la utopolo limeaibisha taifa! Huyo Fei unayesema kabadilishwa kafanya nini sasa....!??
Na bado mkienda Nigeria mnapigwa nne, na ngao ya hisani mnapigwa tatu!

Nyie shadadieni yasiyowahusu tu...
 
Kila mtu aliona nafasi nyingi za mabao hazikutumiwa na wachezaji. Kufungwa hata real Madrid inafungwa ikibidi. Kama watapata tena nafasi kama zile na kuzitumia
 
Hakuna cha nafasi nyingi wala nini utopolo wacha kujifariji timu bovu hilo linacheza kama timu ya daraja la pili.
 
Kila mtu aliona nafasi nyingi za mabao hazikutumiwa na wachezaji. Kufungwa hata real Madrid inafungwa ikibidi. Kama watapata tena nafasi kama zile na kuzitumia

Utopolo, mbona unazidi kuandika matakataka aisee..!?
 
Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano yake.

Swali hapa ni je, TFF yetu hawazijui kwa kiasi gani sheria na kanuni za CAF na FIFA? Na kama wanazifahamu zote ni kwanini imewawia vigumu kuwazuia Gomez na Matola kufanya kazi Simba kutokana na vyeti vyao kuwa hafifu?

Tukio hili limeimbua Simba na TFF kwa pamoja, linapigilia msumari wa mwisho kwenye uthibitisho wa tuhuma za Karia na TFF kuipendelea sana Simba kiasi Cha kushindwa hata kuionya na kuikatalia chochote.

Tunaunganisha dots za viporo vya Simba, ratiba rafiki za Simba kwenye ligi, adhabu za Yanga na uhamisho wa Morrison.
Kama huelewi, au ni mbumbumbu omba kueleweshwa, siyo kuja kuharisha humu jukwaani ingali hujui kitu kuhusu hizo leseni. Misukule bhana ni kudemkia kila jambo.
 
Shida iko KWA Kilabu yenyewe...Ndg, Rage aliwahi uzungumziaga umbumbumbu wa hii Kilabu....haina sifa ya kuwa clubView attachment 1933052
Sasa mbumbumbu Ni nani kati yenu nyie Misukule msiojua lolote kuhusu mabadiliko ya leseni yaliyoanzia UEFA hadi Caf. Ni kuongea utaputapu TU bila kuwa informed.

Ulivyo kenge unaweka na bandiko la huyo mchumia tumbo wenu. Huna akili. Na hakuna utopolo mwenye akili.
 
Kama huelewi, au ni mbumbumbu omba kueleweshwa, siyo kuja kuharisha humu jukwaani ingali hujui kitu kuhusu hizo leseni. Misukule bhana ni kudemkia kila jambo.
Jibu swali, Gomez ndiye kocha mkuu? Mzungu kihiyo jina kubwa kumbe mention town. Mwamed hataki hasara za kijinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom