Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,835
Dodoma, Tanga, Pwani, baadhi ya sehemu MorogoroTanzania tende zinaweza kustawi wapi? Zinachukua muda gani hadi kuanza kuzaa matunda?
Kuanzia miaka 7 baada ya kupanda unaanza kula na kuuza Tende