Claude Henry
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 321
- 352
Usilazimishe - Misri imo kwenye jumuiya inaitwa "Arab League " kwanini? Wana vinasaba (DNA) vya Kiarabu. Bara la Africa lina wazungu , wabantu, waarabu, Negroes na kadhalika.Lakini ni waafrica.
Acha ujinga
I agree with you 100%. Mkataba huu huu angepewa mzungu usingeona TEC kutoa tamko wala wasingepinga chochote. Hapo issue ni waarabu na sio mkataba wala nini.Wamemtuma Dr Slaa...wakaona kakamatwa wamejitokeza wenyewe live.
Na wala hawataki kurekebisha vipengele...wako very clear hawataki waarabu waislam.
Hata akija mwekezaji Mzungu vipengele hivyo hivyo hutasikia wakisema chochote.
Si alikuwepo Ticts na Hong Kong miaka 22.
walisema chochote?
Kumbe walikuwepo na sasa hawapo?kinachopingwa ni hao wakoloni wako wa kiimani kutaka kukaa bila kikomo huku wakiweka masharti ya ajabu ambayo ni chizi tu na mtumwa wa kiimani ndo atakubali.Wamemtuma Dr Slaa...wakaona kakamatwa wamejitokeza wenyewe live.
Na wala hawataki kurekebisha vipengele...wako very clear hawataki waarabu waislam.
Hata akija mwekezaji Mzungu vipengele hivyo hivyo hutasikia wakisema chochote.
Si alikuwepo Ticts na Hong Kong miaka 22.
walisema chochote?
nakumbuka walihimiza watu wavae barakoa na kufuata kanuni za tahadhari za COVID 19Wakuu salama?
Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?
Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?
Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Mbona TEC hotoa nyaraka nyakat zote au hukusoma ule waliomtuhumu Magufuli kwa kupotea watuWakuu salama?
Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?
Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?
Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Wakati wa JPM walitoa Nyarja Tatu za kupingana na JPM....kabla kuchngia muwe mnajiridhisha kwanza na ueleea wenu!Sio mawazo mgando hata kama mimi ni mkatoliki ila ukweli ni kwamba TEC ni wadini mno mbona wakati wa utawala wa mkristo mwenzetu alieunajisi uchaguzi,aliekitishia maisha ya watu na mpaka kuua watu hawakutoa tamko lolote? Tutende haki ubaguzi sio kitu kizuri
TAPIKA TENDE NA HALUA ZA WAARABUWakuu salama?
Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?
Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?
Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Hisia potofu tu hizi. Je nitakosea nikisema waislam wamejaa udini zaidi kiasi kwamba hawajadili vipengele vya mkataba badala yake wanautetea kwa sababu mwekezaji ni mwarabu mwenye uislam wake?Wamejawa na udini hao watu, Hawataki uwezekaji kwa sababu ni Mwarabu tu
Acha uongo.Wakuu salama?
Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?
Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?
Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Bakwata wakitoa tamko hawawezi kujenga hoja na mwisho wataanza matusi na kuomba kujengewe misikiti.Kwa hiyo wenyewe wanatakiwa wafuate wanachokielekeza, kwa hiyo na Bakwata watoe tamko sio?
Jiongeze. Rasimali zetu za Nchi Hazina' haja ya Udini. Ni Uzalendo TU. Miaka 22 ya TICS ni Sawa na 'Kwa Muda Usiojulikana, Mpaka MWEKEZAJI' Achoke ! ' wa DPWorld, ni Sawa ??? Tusijitoe Ufahamu !Wamemtuma Dr Slaa...wakaona kakamatwa wamejitokeza wenyewe live.
Na wala hawataki kurekebisha vipengele...wako very clear hawataki waarabu waislam.
Hata akija mwekezaji Mzungu vipengele hivyo hivyo hutasikia wakisema chochote.
Si alikuwepo Ticts na Hong Kong miaka 22.
walisema chochote?
Siku zingine kama ukiwa bado huna Taarifa za kutosha usiwe Unakurupuka hivi sawa? Kwa Taarifa yako hawa hawa TEC kati ya mwaka 2016 hadi 2017 walimtia sana Kashi Kashi Hayati Magufuli baada ya Kuwakera mahala fulani na Magufuli akaanza kutaka Kushindana nao ila baadae akagundua hawawezi, akaufyata na kuamua Kuungana nao.Wakuu salama?
Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?
Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?
Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Hapo vipiI agree with you 100%. Mkataba huu huu angepewa mzungu usingeona TEC kutoa tamko wala wasingepinga chochote. Hapo issue ni waarabu na sio mkataba wala nini.
Wakati wa JPM kuna watu walikuwa wanaokotwa kwenye sandarusi wakiwa wamekufa ufukweni huko ulishawahi kuona tamko kutoka TEC?
Na hawa ndio wanaopandikiza chuki ya kidini kwa watu na huwa inatokea hivi hivi kila anapokuwa raisi muislamu. Utaona hata raisi akifanya uteuzi wataanza kuangalia kateua waislamu wangapi, lakini akiwa raisi ni katoliki mwenzao hawasemi hivyo hata huyo katoliki akiteua wote wa dini moja.
Kafieni mbele huko na chuki zenu MAMA SAMIA mpaka 2030. Kumbukeni MAMA hajajiweka kwenye hiyo nafasi ni MUNGU ndio kamuweka hapo.
Utawala wa kikwete na utawala wa magufuli upi walitoa nyaraka nyingi za kipumbavu? Nakumbuka walimsakama mno kikwete kuwa ni mdini au wakati huo haukuwa timamu kichwani? TEC imempopoa mno kikwete kwamba analeta udini kisa tu baraza la mawaziri wakati fulani kulikuwa na waislamu wengi ila hatukuyasikia hayo wakati wa utawala wa magufuliWakati wa JPM walitoa Nyarja Tatu za kupingana na JPM....kabla kuchngia muwe mnajiridhisha kwanza na ueleea wenu!