Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 308
- 425
Wenyewe tumeshindwa baada ya miaka 60 ya uhuruHayo maboresho tufanye wenyewe,SIO lazima tubinafsishe!!
Tuonyeshe ufanisi WETU!
Tubadilike tu!Wenyewe tumeshindwa baada ya miaka 60 ya uhuru
Naona umetumwa weweUkisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'
Author: Jacques Morisset
Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"
Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.
Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.
Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.
Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.
Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Nawee tumwa.Naona umetumwa wewe
Insha Allah.Kwahiyo bei ya magari itapungua?
Unadhani ni rahisi eeeh? Hujui unachosema, unashida.Hayo maboresho tufanye wenyewe,SIO lazima tubinafsishe!!
Tuonyeshe ufanisi WETU!
dah miaka 60 ya uhuru tumeshindwa aise adi aibu naona mimi!Wenyewe tumeshindwa baada ya miaka 60 ya uhuru
Porojo tupu, wachumia tumbo kwa kutetea % zenu hamjambo.Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'
Author: Jacques Morisset
Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"
Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.
Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.
Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.
Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.
Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Safi somo zuri kwa ile mijinga inayopinga!Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Umeshalamba asali, unakuja sasa kuleta porojo. Rudisheni bandari yetu.Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

umetumwa eeh?Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Hatujiwezi, hizo cranes tutanunua kwa bei mara ishirini ya bei halisia halafu tutaleta cranes mitumba ambazo zitakuwa zinabreakdown kila siku na mafundi watakuwa wanalipwa mamilioni kila mwezi kuzitengeza.Hayo maboresho tufanye wenyewe,SIO lazima tubinafsishe!!
Tuonyeshe ufanisi WETU!
Kama kiongozi wa chini akishindwa na hachukuliwi hatua maana yake wa juu yake ameshindwaWenyewe tumeshindwa baada ya miaka 60 ya uhuru