Kwanini Tanzania hatuna furaha? Nini kifanyike?

Nomadiq

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
7,929
Reaction score
20,933
Hata ingekuwa ni wewe blooo ungekuwa na furaha kweli?

Nchi kina Madelu wanajitungia nyuzi eti wanapigwa vita wakati wamepaisha uchumi, nchi ukiamka asubuhi unakuta mtu wa miaka 85 kachaguliwa makamo mwenyekiti wa chama kisa ni mtu wao, nchi ambayo mtu unajipinda miaka 4 kwa shida na dhiki kuu unamaliza degree ya civil engineering alafu unaambiwa haya sasa nenda veta kasomee ufundi uashi

Bloo hata ingekuwa wewe ungekuwa na furaha kweli?
 
Dah inasikitisha sana, ila kuna nchi zinapitia majanga kama ukame na vita zisizokoma mfano Somalia, nilitegemda amani inayosifika Tanzania iendane na furaha!
 
Wanajua nchi zao zina majanga ya kiasili so wananchi wameyapokea wanaishi nayo sasa kwetu tunaona Mungu katubariki kila kitu ila kuna baadhi ya wenzetu wanatukwamisha, unakuwaje na furaha hapo
 
umejenga hoja vizuri, unashauri ni kifanyike kurudisha furaha tena kwa watanzania.
 
Natumaini ni kwema wakuu.

Kwa mujibu wa ripoti mpya ya orodha ya nchi zenye furaha duniani, Tanzania(136) tumepitwa mpaka na Somalia(122).

Imesikitisha sana hii habari ni kana kwamba naishi nchi ya majonzi,huzuni, na masononeko!
Somalia wanafuraha iliyopitiliza kwa sababu hawana serikali ya kuwabanabana na kuwaibia, kila mtu anakula kwa mtutu wake wa bunduki:KKomrade:
 
Ni kweli mkuu anarchy inaweza kuchangia uhuru na kuwa na furaha ila kwa hasara ya kumwaga damu sana.
 
Back
Top Bottom