danhoport
JF-Expert Member
- May 20, 2020
- 2,099
- 4,801
Washkaji zangu, embu tuache utani kwenye maisha yetu. Umewahi kucheki tyre ya gari yako ukakuta imetokeza "nundu" au uvimbe fulani hivi pembeni? Wengi tunasema "ah, bado inatembea," lakini ukweli ni kwamba hilo ni BOMU na unatembea nalo!
Sasa, kwanini tyre inavimba hivi? (Hizi ndio sababu):
Vifusi na Mashimo: Hii ndio namba moja Bongo. Ukivaa shimo kwa kasi, ile presha inakatiza mpaka ndani na kukata nyuzi za chuma (cords) zinazoshikilia tyre.
Kupiga "Curb" (Kingo za Lami): Unapopark kizembe na kusugua tyre kwenye kingo za lami, unaharibu ule upande wa pembeni (sidewall) ambao ni laini kuliko sehemu ya chini.
Kutembea na Upepo Mchache: Tyre ikiwa haina upepo wa kutosha, inajikunja sana (over-flexing). Hii inazalisha joto kali linalofanya gundi ya ndani iachane na nyuzi, kisha hewa inatokeza nje.
Mizigo Iliyopitiliza: Ukipakia gari kama unahamisha duka, uzito unazishinda nyuzi za tyre na kuanza kuzikata moja baada ya nyingine.
Tyre za Zamani/Used: Kama tyre imekaa miaka mingi (hata kama ina rasta), ule mpira unakuwa mkavu na dhaifu (dry rot). Ukipiga hata kijiwe kidogo tu, inavimba.
Kwanini uogope? ⚠️
Sehemu iliyovimba haina tena ulinzi. Imeshikiliwa na kanyama kembamba tu kwa nje. Kwenye mwendo au joto la mchana, hiyo tyre inapasuka GHAFLA!
Ufanye nini sasa?
Tyre ikishavimba, haina ujanja wa kusema utaishona—IBADILISHE. Usisubiri tyre ipasuke ndio uanze kutafuta namba ya kuvuta gari.
Nicheki hapa, nina tyre za nguvu, mpya na OG kabisa:
✅ Hazijaenda mwaka (Fresh stock).
✅ Bei ya kishkaji (Haina kuumizana).
📞 Piga/WhatsApp: [0626799329]
📍 Napatikana Kariakoo mtaa wa swahili na twiga Dar es salaam