Akisoma uamuzi huo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri.
Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.
Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.
Kweli ni aibu wakiambiwa walikuwa wafungwa wa kisiasa wanakataa.Aibu
Kinachozuiwa ni kuingilia maamuzi ya mhimili mwingine sio kutoa ushahidi, shahidi anaweza kuwa mtu yeyote hata rais anaweza kuitwa mahakamani kutoa ushahidi.Mtakuja kuniambia utetezi wake.. Kuwa hakutaka kuingilia muhimili mwingine wa serikali.
Wengine wamefanywa kuwa "the second-class citizen" katika nchi yao wenyewe.Kweli ni aibu wakiambiwa walikuwa wafungwa wa kisiasa wanakataa.
Kinachozuiwa ni kuingilia maamuzi ya mhimili mwingine sio kutoa ushahidi, shahidi anaweza kuwa mtu yeyote hata rais anaweza kuitwa kutoa ushahidi.
Ndio maana watu wanasema walikuwa wafungwa wa kisiasa.Yawezekana maagizo ya kuhakikisha kuwa wanasota mahabusu yalitoka juuu; kwa hiyo spika asngethubutu kuwatetea!
Ni wazi kuwa kilikuwa na ushirika mchafu baina ya waendesha mashitaka na hakimu. Hakimu alikosa hekima na utu, alitumia mamlaka na madaraka yake vibaya.Watu wakiunganisha nukta na promotion ya hakimu Mashauri kuwa Jaji, watakuwa hawajakosea.Mtakuja kuniambia utetezi wake.. Kuwa hakutaka kuingilia muhimili mwingine wa serikali.
Akisoma uamuzi huo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri.
Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.
Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.
Akisoma uamuzi huo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri.
Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.
Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.
Kwa wajuvi wa sheria hivi shahidi anaweza kulazimishwa kwenda kutoa ushahidi mahakamani?Kama lilikuwa agizo, spika hana ubavu wa kumtetea. Hii ilikuwa mission iliyopangwa. Ndiyo maana CAG alisema Bunge ni dahaifu