Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Tawala mhemuko umeandika nini sasa !!!Bunge na mahakama wapi na wapi.Kwani bunge ndio kilimo dhamana na masharti yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tawala mhemuko umeandika nini sasa !!!Bunge na mahakama wapi na wapi.Kwani bunge ndio kilimo dhamana na masharti yake?
Anatoka chattle. Na mdogo wake alipangwa kuchukua nafasi ya asad ila haikutekelezwa kwa sababu asad alitenda tofauti na walivyopanga.What a shame!Halafu huyo Mashauri ndio kala shavu baada ya kuwasweka rumande kwa miezi 3 na ushee!
Awamu hii ukitaka kupata mafanikio kwa haraka basi wewe wafanyie ubaya wapinzani,hapo utamgusa JIWE na atakuona mtendaji imara na zawadi ya cheo juu!
Hayo unayoeleza unafikiri Jaji hayajui,
Kwa maana hiyo kitu ambacho hakifai kabisa katika jamii hii ya Watanzania waliostarabika na wenye utu ni JIWE. Kwa nini tunaendelea kulikalia wakati ukweli ni kuwa JIWE limetukalia sisi?What a shame!Halafu huyo Mashauri ndio kala shavu baada ya kuwasweka rumande kwa miezi 3 na ushee!
Awamu hii ukitaka kupata mafanikio kwa haraka basi wewe wafanyie ubaya wapinzani,hapo utamgusa JIWE na atakuona mtendaji imara na zawadi ya cheo juu!
Akisoma uamuzi huo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri.
Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.
Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.
TRIPLE standard!Tabia za serikali kucheza na dhamana ilianza toka kwa Lema Arusha, nakumbuka baada ya kukatwa kwa rufaa, Jaji kwenye hukumu yake pia alilaumu mahakama kutotenda haki na kumisha haki ya dhamana, na kwa Mbowe hili limejirudia tena, je hakuna utaratibu wa ndani wa kimahakama wa mahakama ya rufaa kutoa maagizo ya aina ya kesi kama hizo zisiweze kuchezewa au mahakama ya rufani au mahakama kuu kuingilia kati pindi ukandamizaji kama huu unapotokea....
Spika kila siku yupo Ikulu.. huyu ni kama anaishi pale.. juzi alikuwepo.. leo yupo..Akisoma uamuzi huo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri.
Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.
Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.
Huyu jamaa sijui anafananaje? Hawezi kuona hata wenzake wengine kuna hoja wanaziona hapo??? Nadhani hayuko vizuri upstairs....
Nadhani hauko vizuri upstairs. Huwezi ukatulia ukaziona hoja za msingi kutoka kwenye maamuzi ya Jaji Rumanyika!!!??? Hata wenzako nadhani wanakucheka. Sometimes you better listen yourself before you speak out. Umezidi mkuu......Bunge na mahakama wapi na wapi.Kwani bunge ndio lililompa dhamana na masharti yake?
Jamani. Ccm kuweni na aibu basi kha.Akisoma uamuzi huo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri.
Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.
Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.
Jaji mkuu nadhani kuna jambo anatakiwa kufanya kwenye muhimili wake. Yeye ndiye mkuu wa muhimili huu, hawezi kuacha haya mambo yakawa yanakwenda hovyo namna hii tena kwa kuhusishwa na siasa. Labda ndo ile "Anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo autakao"Tabia za serikali kucheza na dhamana ilianza toka kwa Lema Arusha, nakumbuka baada ya kukatwa kwa rufaa, Jaji kwenye hukumu yake pia alilaumu mahakama kutotenda haki na kumisha haki ya dhamana, na kwa Mbowe hili limejirudia tena, je hakuna utaratibu wa ndani wa kimahakama wa mahakama ya rufaa kutoa maagizo ya aina ya kesi kama hizo zisiweze kuchezewa au mahakama ya rufani au mahakama kuu kuingilia kati pindi ukandamizaji kama huu unapotokea....
Barua ya Spika iliyowasilishwa mahakamani na Esther Matiko ndiyo ilikuwa utetezi sahihi kutoka kwa Spika, zidi ya hapo Spika angefanya nini?Akisoma uamuzi huo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri.
Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.
Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.
Nadhani wimbo wa kupigwa ulishachaguliwa na mlipajiTatizo halikuwa kwa Spika Bali ni jiwe, barua ya spika aliyopeleka matiko ilitosha, sema hakimu alikuwa na maelekezo tayari, na ndio maana jaji anauliza katumia sheria ipi kutoa hayo maamuzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Spika kama Spika ana nafasi yake zaidi ya barua.Barua ya Spika iliyowasilishwa mahakamani na Esther Matiko ndiyo ilikuwa utetezi sahihi kutoka kwa Spika, zidi ya hapo Spika angefanya nini?
Wewe kwa akili yako baada ya barua iliyoandikwa na spika kutopokelewa na Hakimu Mashauri, uamuzi wa spika ulikua ni kukaa kimya kwa muda wote huo mtu wake akiwa anahenya rumande!!!??? Mara ngapi Matiko amefikishwa mahakamani na kurejeshwa tena rumande, hivi mtu ambaye ulimtuma tena kwa maandishi, huna jambo la kufanya kuweza kumnusuri na adhabu hiyo ya kuwekwa rumande kwa kosa la kuruka dhamana au kuidharau mahakama!!!??Barua ya Spika iliyowasilishwa mahakamani na Esther Matiko ndiyo ilikuwa utetezi sahihi kutoka kwa Spika, zidi ya hapo Spika angefanya nini?