Kwanini Spika hakumtetea Ester Matiko kuwa alimtuma Burundi

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,422
2,000
Akisoma uamuzi huo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri.

Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.

Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.
 
Imany John

Verified Member
Jul 30, 2011
2,916

Mtakuja kuniambia utetezi wake.. Kuwa hakutaka kuingilia muhimili mwingine wa serikali.
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,981
2,000
What a shame!Halafu huyo Mashauri ndio kala shavu baada ya kuwasweka rumande kwa miezi 3 na ushee!
Awamu hii ukitaka kupata mafanikio kwa haraka basi wewe wafanyie ubaya wapinzani,hapo utamgusa JIWE na atakuona mtendaji imara na zawadi ya cheo juu!
 
Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,150
2,000
Mtakuja kuniambia utetezi wake.. Kuwa hakutaka kuingilia muhimili mwingine wa serikali.
Ni wazi kuwa kilikuwa na ushirika mchafu baina ya waendesha mashitaka na hakimu. Hakimu alikosa hekima na utu, alitumia mamlaka na madaraka yake vibaya.Watu wakiunganisha nukta na promotion ya hakimu Mashauri kuwa Jaji, watakuwa hawajakosea.

Vv

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,428
2,000
Akisoma uamuzi huo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri.

Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.

Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.

Kama lilikuwa agizo, spika hana ubavu wa kumtetea. Hii ilikuwa mission iliyopangwa. Ndiyo maana CAG alisema Bunge ni dahaifu
 
katitu

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
837
1,000
Akisoma uamuzi huo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri.

Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.

Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.

Mahakimu wetu wanadhalilisha taalumu zao.Wamekuwa ni sehemu ya wanasiasa.wajitafakari hizi si enzi za ujima.wananchi wanaelewa kinachoendelea mahakamani hasa hizi mahakama za chini.zimejaa uchafu usioelezeka.muda utasema wakati mambo yatakapowageukia.watu wengi wameporwa haki zao na kufungwa mahakamani bila hatia kwa sababu tu ya mizengwe.rushwa zinatawala katika mahakama hizi za chini.mwenye fedha anapewa haki na asiye na pesa ananyang'anywa haki yake ni aibu kwa baadhi ya mahakimu wetu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom