Naunga mkono hoja, mimi ni muumini wa falsafa ya Socrates, Plato, Machiveli na Nyerere, kiongozi mzuri ni yule mwenye good brain, na sio popularity, angalia Kigoma, a good brilliant brain imeshindwa na lile lichawa empty shells, kwasababu tuu, lichawa linapendwa sana na watu, na kiukweli liko very popular!, hata ukinishindanisha mimi university graduate, ukanishindanisha na Daimondo ambaye ni standard 7 dropout, nitashindwa vibaya kwasababu Dai ni very popular!Socrates anayeaminika kama Baba wa Filosifia, akiona kwamba Demokrasia sio njia nzuri ya kuingiza, Kwani ina wapa watu wasio jua nafasi ya kufanya Maamuzi. Njia Bora ni wajuzi ndio waongoze na sio wasio wajuzi. Hapa naona China style ndio njia Bora.
Mkono wa chuma uendane na akili za chuma na pia uadilifu wa chuma... siyo unakuwa na viongozi waigizaji na wezi kama kina Makonda na Samia halafu utegemee matokeo chanya.Well said.
Maendeleo katika nchi za ulaya yamefanyika katika kipindi cha tawala za mikono ya chuma. Demokrasia imeletwa kama project ya nchi za Magharibi kuzifanya nchi za Africa zisifanikiwe.
99% ya Africa haijawahi kuwa na demokrasia tangu uhuru na bado hakuna maendeleo.Well said.
Maendeleo katika nchi za ulaya yamefanyika katika kipindi cha tawala za mikono ya chuma. Demokrasia imeletwa kama project ya nchi za Magharibi kuzifanya nchi za Africa zisifanikiwe.
kweliSocrates anayeaminika kama Baba wa Filosifia, akiona kwamba Demokrasia sio njia nzuri ya kuingiza, Kwani ina wapa watu wasio jua nafasi ya kufanya Maamuzi. Njia Bora ni wajuzi ndio waongoze na sio wasio wajuzi. Hapa naona China style ndio njia Bora.
Mo
Naunga mkono hoja, mimi ni muumini wa falsafa ya Socrates, Plato, Machiveli na Nyerere, kiongozi mzuri ni yule mwenye good brain, na sio popularity, angalia Kigoma, good brilliant brain imeshindwa na lile lichawa kwasababu linapendwa na watu, very popular.
Top 3 wa urais wetu 2005 we had top brain, Prof. Mwandosya, Top Diplomat Dr. Salim, na GPA ya 2.1, JK, siku ya mwisho kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, wakasema tumchague mtu ambaye ni mwenzetu, mwenye sura nzuri. anayependwa na watu kutokana na cheko na bashasha zake!. JK akapita!, je unajua tulivuna nini miaka 10 ya JK?.
Akaingia mwamba JPM, top brain, angalia ile miaka yake mitano tuu ameacha nini! Compare and Contrast kati ya kuongozwa na good big brain na kila.. naomba nisimalizie
Hapa sasa...
View: https://youtu.be/HT7mizKCseQ?si=meaghk2CZ_Utm08l
P
Ni vizuri tuangalie kwetu Kwanza shida ni nini ktk hiyo Demokrasia isiyo Demokrasia99% ya Africa haijawahi kuwa na demokrasia tangu uhuru na bado hakuna maendeleo.
Hakuna demokrasia isiyo demokrasia.Ni vizuri tuangalie kwetu Kwanza shida ni nini ktk hiyo Demokrasia isiyo Demokrasia
Mo
Naunga mkono hoja, mimi ni muumini wa falsafa ya Socrates, Plato, Machiveli na Nyerere, kiongozi mzuri ni yule mwenye good brain, na sio popularity, angalia Kigoma, good brilliant brain imeshindwa na lile lichawa kwasababu linapendwa na watu, very popular.
Top 3 wa urais wetu 2005 we had top brain, Prof. Mwandosya, Top Diplomat Dr. Salim, na GPA ya 2.1, JK, siku ya mwisho kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, wakasema tumchague mtu ambaye ni mwenzetu, mwenye sura nzuri. anayependwa na watu kutokana na cheko na bashasha zake!. JK akapita!, je unajua tulivuna nini miaka 10 ya JK?.
Akaingia mwamba JPM, top brain, angalia ile miaka yake mitano tuu ameacha nini! Compare and Contrast kati ya kuongozwa na good big brain na kila.. naomba nisimalizie
Hapa sasa...
View: https://youtu.be/HT7mizKCseQ?si=meaghk2CZ_Utm08l
P
hapa afrika tatizo kubwa ni maarifa madogo ya kutatua changamoto kwa wanaongoza na wanaongozwa pia --- mambo ya rushwa , uadilifu , hujuma ni vitu vya nyongeza tuNi vizuri tuangalie kwetu Kwanza shida ni nini ktk hiyo Demokrasia isiyo Demokrasia
Mo
Naunga mkono hoja, mimi ni muumini wa falsafa ya Socrates, Plato, Machiveli na Nyerere, kiongozi mzuri ni yule mwenye good brain, na sio popularity, angalia Kigoma, good brilliant brain imeshindwa na lile lichawa kwasababu linapendwa na watu, very popular.
Top 3 wa urais wetu 2005 we had top brain, Prof. Mwandosya, Top Diplomat Dr. Salim, na GPA ya 2.1, JK, siku ya mwisho kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, wakasema tumchague mtu ambaye ni mwenzetu, mwenye sura nzuri. anayependwa na watu kutokana na cheko na bashasha zake!. JK akapita!, je unajua tulivuna nini miaka 10 ya JK?.
Akaingia mwamba JPM, top brain, angalia ile miaka yake mitano tuu ameacha nini! Compare and Contrast kati ya kuongozwa na good big brain na kila.. naomba nisimalizie
Hapa sasa...
View: https://youtu.be/HT7mizKCseQ?si=meaghk2CZ_Utm08l
P
Mo
Naunga mkono hoja, mimi ni muumini wa falsafa ya Socrates, Plato, Machiveli na Nyerere, kiongozi mzuri ni yule mwenye good brain, na sio popularity, angalia Kigoma, good brilliant brain imeshindwa na lile lichawa kwasababu linapendwa na watu, very popular.
Top 3 wa urais wetu 2005 we had top brain, Prof. Mwandosya, Top Diplomat Dr. Salim, na GPA ya 2.1, JK, siku ya mwisho kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, wakasema tumchague mtu ambaye ni mwenzetu, mwenye sura nzuri. anayependwa na watu kutokana na cheko na bashasha zake!. JK akapita!, je unajua tulivuna nini miaka 10 ya JK?.
Akaingia mwamba JPM, top brain, angalia ile miaka yake mitano tuu ameacha nini! Compare and Contrast kati ya kuongozwa na good big brain na kila.. naomba nisimalizie
Hapa sasa...
View: https://youtu.be/HT7mizKCseQ?si=meaghk2CZ_Utm08l
P
Naona tunaanza kulishana maneno, mimi nimeandika neno "kila.." (tu) mbona umenilisha maneno kuwa nimeandika kilaza?!.Akaingia mwamba JPM, top brain, angalia ile miaka yake mitano tuu ameacha nini! Compare and Contrast kati ya kuongozwa na good big brain na kilaza.. naomba nisimalizie
Sasa hapo ungemalizia huyo kilaza ungemuongelea vizuri
Mo
Naunga mkono hoja, mimi ni muumini wa falsafa ya Socrates, Plato, Machiveli na Nyerere, kiongozi mzuri ni yule mwenye good brain, na sio popularity, angalia Kigoma, good brilliant brain imeshindwa na lile lichawa kwasababu linapendwa na watu, very popular.
Top 3 wa urais wetu 2005 we had top brain, Prof. Mwandosya, Top Diplomat Dr. Salim, na GPA ya 2.1, JK, siku ya mwisho kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, wakasema tumchague mtu ambaye ni mwenzetu, mwenye sura nzuri. anayependwa na watu kutokana na cheko na bashasha zake!. JK akapita!, je unajua tulivuna nini miaka 10 ya JK?.
Akaingia mwamba JPM, top brain, angalia ile miaka yake mitano tuu ameacha nini! Compare and Contrast kati ya kuongozwa na good big brain na kila.. naomba nisimalizie
Hapa sasa...
View: https://youtu.be/HT7mizKCseQ?si=meaghk2CZ_Utm08l
P
Lakini nchi ikiongozwa na mtu mwenye maarifa inakuwa rahisi kwa Kiongozi huyo, kupima faida za muda mfupi dhidi ya faida za muda mrefu na kungamua njia Sahihi ya kufuata. Yenye gharama ndogo kwa nchi na sio kwake na kundi lake.hapa afrika tatizo kubwa ni maarifa madogo ya kutatua changamoto kwa wanaongoza na wanaongozwa pia --- mambo ya rushwa , uadilifu , hujuma ni vitu vya nyongeza tu
Huu ni mwaka wangu wa 36 kwenye media, nimeingia 1990, ni kweli nimeona mengi, nayajua mengi, nimesema mengi, nimeandika mengi, pia nimenyamazia mengi!.Kaka hii umeandika wewe au kuna mtu kashika simu yako.
Kama ni wewe basi una mengi moyoni ila huwa unajizuia kuyatoa.
Pole kaka.
Hongera sana kaka.Huu ni mwaka wangu wa 36 kwenye media, nimeingia 1990, ni kweli nimeona mengi, nayajua mengi, nimesema mengi, nimeandika mengi, pia nimenyamazia mengi!.
P