Kwanini Siwezi Kuwa Mpole Humu Jukwaani?

Hahahaha

Wewe ulitaka ninywee kwa maswali yako uchwara sasa umekipata ulicho kuwa unakitafuta
nimepata nini ? Kama kutukanwa ni kawaida sana ila me ninachokusifu wewe umekuwa mwepesi kufunguka na kuonesha ishara kuwa una tatizo na unahitaji msaada
 
Asante kwa kushiriki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom