Kwanini Siwezi Kuwa Mpole Humu Jukwaani?

Kwanini Siwezi Kuwa Mpole Humu Jukwaani?

Don't be a dunk head.

JF hakuna watu walioko nje? Mbona unakuwa kama unenlightened Monk?

Unakosa kuunganishwa logic ndogo kama hiyo? Na kingine kila mtu anamsalaba wake so acha kuona kama una uspesho wa wania yoyote. No cares about you.
de Gunner anachekesha kama sio ndugu yako

Kwahiyo mkuu unahamia lini facebook na tiktok kuendelea kulipiza kisasi baada ya kunyoosha waliokuumiza humu jf ili nikufollow mapema
 
šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜… daah attention

Mkuu uzi umeonesha historia yako ya kuumizwa japo ulikuwa mwema kwa waliokuumiza

swali huwezi kuwa mpole kwa wanajf kwa sababu ya waliokuumiza nje ya jf ? Au waliokuumiza wapo ndani ya jf
Huyu jamaa inaonesha ana matatizo ya akili, huwa anakuja kuomba ushauri lakini wakati huo huo anakuwa na majibu yake mfukoni.
 
Huyu jamaa inaonesha ana matatizo ya akili, huwa anakuja kuomba ushauri lakini wakati huo huo anakuwa na majibu yake mfukoni.
Hivi umefatilia mlolongo wa maswali ya huyo mjinga? Sio kwamba hajui anacho kifanya linatambua fika linacho kiuliza uli Lipate sympathy feki.
 
Hivi umefatilia mlolongo wa maswali ya huyo mjinga? Sio kwamba hajui anacho kifanya kinatambua fika linacho kiuliza uli Lopate sympathy feki.
Me sikushangai mkuu inaonesha waliokuumiza wamekuumiza sana tena sana inabidi utumie uwanja wa jf kujitibu maana huku hakuna atakaye kupiga wala kukukamata

Endelea kupona mkuu
 
Me sikushangai mkuu inaonesha waliokuumiza wamekuumiza sana tena sana inabidi utumie uwanja wa jf kujitibu maana huku hakuna atakaye kupiga wala kukukamata

Endelea kupona mkuu
Hahahaha

Wewe ulitaka ninywee kwa maswali yako uchwara sasa umekipata ulicho kuwa unakitafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom