Kwanini Sipendi 'Vi-Baby Walker' !

Ukiona manyoya, jua...... lazima tukupe ukweli wako
 
Ukiona manyoya, jua...... lazima tukupe ukweli wako

ukweli gani???sijaona ukweli wowote zaidi ya mipasho....btw we ni me au ke??!!! umepotea sio kwako huku get a life unavuruga tu thread ya watu.....
 
Umejikwatua vizuri, hongera yako
 
ukweli gani???sijaona ukweli wowote zaidi ya mipasho....btw we ni me au ke??!!! umepotea sio kwako huku get a life unavuruga tu thread ya watu.....
Naomba nikuoneshe jinsi ulivyojikanyaga

Kwanza kabisa,ningependa kusema sidharau 'baby walkers' ila sivipendi na ......

Ndugu yangu kila mtu akija na SREDI za nini anapenda na nini hapendi tutafika? Hivi wanaotumia hayo magari una uhakika kuwa hukuwakwaza?

Kwa bahati mbaya vidole vikateleza ukaendelea:

.... Kwa wale wasiojua baby walkers ni zile gari ndogo,maarufu sana miongoni mwa akina dada[wapo wakaka pia wanaendesha].....

Je una takwimu kuwa ni akinadada wanaotumia na akinakaka ni wachache?

Hukuishia hapo, ukaanza makijidai:

..... Nyingi zina cc900-1400 kama pikipiki tu....

Ukaboa kwa kuyasifia ingawa huyapendi:

vinatumia mafuta vizuri sana.....

Ukajisifu mtoto wa watu:


Ukamalizia:

..........Gari kubwa kwangu ni cc1800-2500....yale ya cc3000 au 4000 kwangu ni MAJINI SIO MAGARI....
Mpaka hapo jitafakari mwenyewe na uchukue hatua
 

Mkuu ulianza vizuri kueleza na nimevutiwa sana ila umeharibu hapo mwisho uliingiza swala la K
 

kwani kuna limitation humu kuweka thread?? hata wewe unaruhusiwa kuja na thread ya usiyoyapenda na unayoyapenda kwenye jamii.

nenda ww katafute takwimu uje hapa unipinge kwamba hivyo vigari madereva wengi sio akina dada

kusema nimeyasifia wala sijasifia nimetoa 'fact' haipingiki kutopenda kitu haina maana usikubaliane na ukweli

kuhusu kujisifu hayo ni maoni yako tu,kama mtu kusema anadrive ni kujisifu haya

nimesema gari kubwa KWANGU ni hizo nilizotaja na nilizoita majini kwangu siwezi kuzigusa.

once again sizipendi hizo gari,atakaekazwa juu yake.

once again get a life.
 
Mkuu ulianza vizuri kueleza na nimevutiwa sana ila umeharibu hapo mwisho uliingiza swala la K

hapo mwisho ndio kajionyesha ni mtu wa aina gani.
 

Haha!! huyu atakua [MUHAYA] wasipaone wahaya wengine hapa, SORRY wahaya nimevutiwa na uchambuzi!
 
huyu Preta si ndio ana ile AMAROK....!!! nitamuomba hata lift siku moja

Ha ha ha........nimebadili mkuu........Nina land rover Puma sasa hivi........Amarok huku Bashnet inateseka kidogo.........
 

Karibu samaki nchanga na kabia mweee
 

Umenipoteza kabisa aisee carbon coppy ? inakaaga wapi kwenye gar?but well said happy happy for u
 

Waeleze waelewe.
 

mkuu hayo magari yenye hybrid technology n kama yapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…