Kwanini Sipendi 'Vi-Baby Walker' !

halafu wewe.....kwanini ulinunua vits badala ya verossa au rav4???

Mimi sijanunua hata vitz bado... na boda boda yangu ndiyo nampango kinikusanyie kiniletee gari ya milion 6 basi
 
Sijui kwa nini watu wameingia kwa hasira kwenye thread hii............lets have some fun guys after all cars are like toys fto men! (I don't know about women?). Siku nikipata hela ndefu nashusha hili!

dartz prombron

 
Anajishapua tu hata hii akiipata ataheuka

 
mimi pia uwezo sina inabidi nichague moja kwahio 'baby walker'.....NO wacha nikomae na 'jini'
Kwani sie tunaotembelea hizi hatuvuti hewa sawa na nyie?



Hata wazungu wanajumuika nao



Mizigo kama kawa

 
Sijui kwa nini watu wameingia kwa hasira kwenye thread hii............lets have some fun guys after all cars are like toys fto men! (I don't know about women?). Siku nikipata hela ndefu nashusha hili!

dartz prombron


duh gari gani ina sura kama yule mjusi...........
 
hii inaingiza copy ngapi?
Hii ina carbon copy (CC) au Cubic Centimeters = nguvu za mtumiaji + gravity.

Kwa tusiojua vizuri majambo haya copy (kama unavyoitania) ni ni uwezo wa chombo kujenerati pawa. Naambiwa 1,000 CC ni sawa na lita moja.

Kwa vyovyote vile uwezo wa chombo kujenerati pawa inategemea na uzee wa hicho chombo. Kwa bahati mbaya hapa TZ hasa kwenu bongo mnanunua magari yaliyozeeka (mitumba) ingawa mnajisifia ati siwezi kuendesha BW (Baby Walker) aibu kubwa.

Hivi unataka gari la kujenerati pawa kubwa na foleni hizi? Watu wanafikiria kusafiri highway na magari, hawaoni fastjet mtu kutoka Dar hadi mbeya, mwanza au KIA ni shs 43,000 kwa muda wa lisaa! Kwa nini karne hii uhangaike na kununua gari ili uende Kishimundu kuonyesha kuwa na wewe umo, wakati kuna shato za kutoka KIA 10,000 na taxi 2,000 umefika Kishimundu. Jiulize unaenda huko kwenu mara ngapi?

Naona shida na hizi tambo za MMU, pengine ni utafutaji wa free K unatusumbua tulio wengi, karibuni Njinjo
 
Daahh jamaa wanatunanga tusia na magari..! poa tu
Mzee Ngurumo wakati wa uhai wake aliimba kuwa 'utakutana na wanafunzi wa mapenzi waikaange roho yako inyauke kama mti.....'. Hawa ni wanafunzi wa maisha---- unaambiwa Maskini akipata, 0713 hulia mbwata.
 

kwa wengine ku-drive ni hobby from dar to mwanza to wherever!!!!one of my dream is to drive from dar to jo'burg not because i cant fly,its because driving is my hobby!!!!....na kupanda ndege ni only if i have to! kama wewe unaona hizi nitambo hayo ni mawazo yako yakizamani ila wengine hizi ni hobby.....may be umepotea njia,hamna anaetafuta K kwa usafiri,hatujaanza leo kuchezea magari...been driving for more than 20 yrs now and i aint even past mid thirty!!! usivamie thread za watu humu na kuleta mipasho....hizi ni thread za petrol heads na wanajijua wewe umevamia tu tena umepotea....get a life.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…