Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 685
- 628
Ukipata pesa watakuja wenyewe bila kuwasumbua.
hii point ya hela ni ya uongo na ndo inayowafanya wanaume wengi hawaoimbona KUna watu Maskini Tu lakini Wana mademu WAkali tu
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kwa point yako watu wa hali ya kawaida na chini wasingeoa au kumiliki wanawakeUkipata pesa watakuja wenyewe bila kuwasumbua.
Chief kitu gani kimekukuta naona nyuzi kadhaa umekuwa ukitema nyongokaka acha kuumiza kichwa kwa mambo yasiyo na tija uko unapopatafuta kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia .
Mawazo na experience ya kwako.Mwanamke ukimdanganya upo kitengo fulani serikali ni ngumu sana kukutolea nje na nirahisi kukupa mapenzi na ni ngumu kukupiga mzinga ataogopa kkukupiga mzinga
Nimepita page ya kwanza mtoa uzi anasema anaona "washamba ndio wanaomiliki pisi kali " huku yeye wanawake wanamkataa sasa kwa hii tu kauli utaona mtoa mada ndo mana anakwama kupata mwenzaLa
Mawazo na experience ya kwako.
Mkuu kama unazo pesa tubadilishane na mke wanguNinazo!
Kama una point hv brohh, hebu ongeza nyama kdgMwanamke ukimdanganya upo kitengo fulani serikali ni ngumu sana kukutolea nje na nirahisi kukupa mapenzi na ni ngumu kukupiga mzinga ataogopa kukupoteza
Ni stori ndefu ndugu yangu ila mpaka nakuwa mwalimu wa haya mambo nililia sana .Chief kitu gani kimekukuta naona nyuzi kadhaa umekuwa ukitema nyongo
Mkuu kumbe umeolewaSikiliza Boss, kwa uzoefu wangu mdogo na unaonitosheleza ninaamini kuwa Kila mtu ana mtu wake, yaani hata My wangu ana My wake lakini hilo halinizuii mimi kufurahia na My wangu.
Ninachokiona ni kwamba kila unapowafuata wanakwambia wana 'My wao' wewe unakata tamaa unatafuta mwingine nae anakujibu vivyo hivyo and that goes on and on
Hebu tafuta mmoja makinika nae akikwambia ana 'My wake' usikate tamaa mthibitishie kuwa wewe unamstahiki zaidi kuliko 'My wake'
Jifunze kwa wanaokula wake za watu.
Muoneeni huruma huyu kijana. Mpeni hata nambaEndelea kujieka wazi kwenye huu uzi wako ,Mungu anaweza kukuona humuhumu JF ukajipatia mwenza
Huna helaNina zaidi ya 30yrs lakini sijawahi kuwa na mpenzi kamwe. Binafsi sina uoga wa kutongoza lakini kila ninayejaribu hunijibu "nina mtu wangu" au "sihitaji mpenzi".
Nikiwacheki hao wanaume wengine ni wa kawaida tu kulinganisha na mimi lakini wanapata wanawake na wanawazalisha kama kuku.
Nikiwa na hamu ya tendo mpaka "ninunue"
Nimekuwa natafuta mwanamke wa kuoa lakini kila msichana ninayemuapproch hunijibu "nina mtu wangu". Sasa najiuliza Mbona hawa wanawake kutwa wanalalamika hawaolewi? Wakati kila mtu ana mtu wake?
Huwa nashangaa ninavyosikia mademu wa kihaya na warangi kuwa warahisi sana.. Mbona mimi nawaona wagumu hasa wahaya kuna mmoja nilitongoza juzi kanichimba mkwara nisimfatefate.
Inaniuma sana wadau kuona "mazwazwa" wanamiliki pisi kali huko mitaani halafu mimi mzee wa kazi a.k.a ngoma ngumu nabaki kubambia mito usiku.
Je, hii ni kawaida au ni mimi tu niko "as a special case".
Naombeni ushauri wadau nifanye nini? Maana wanawake wazuri wote wameshachukuliwa na wajanja na wanawazalisha tu.
Au nijaribu Kenya na Rwanda?
Inaniuma sana!