Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Tatizo vijana wengi mnatongoza mkiwa na ugwadu
 
Hivi wadada hamuoni hio fulsa
 
Halafu mkuu kuna notes flan ninazo nitakutumia upitie ni kitabu kina kama page 600 hivi kitakusaidia sana mkuu
 
Hakikisha kiwango cha uongo kiwe 360’ hawatakagi ukweli kabsa hao sikettight
 
Nunua gari zuri (sio lazima lakini hii ni easy way ya kupata mademu), make sure unaonekana vizuri physically na usiwe bahiri , watakuja wenyewe
 
Hukumu na hasira ya Mungu IPO juu ya watenda dhambi tubuni na kuacha dhambi na kumrejea Mungu wenu kabla hazijafika siku Mbaya.Muda ni mchache Sana kuendelea kuwaza, kuwawazua na kuwachambua wanawake.Hamna muda kabisa muda umeisha mwanamke HaweZi kusaidia kukupeleka peponi.Waza Mungu siku nzima ACHA kuwaza wanawake siku nzima maana chochote unachokipa muda na mawazo Yako zaidi ya Mungu kinakuwa mungu mwingine kwako.Usiabudu miungu mingine (Wanawake).Wacha waendelee na ghasia Yao ya uzinzi wewe endelea kumsifu Bwana.Jiandae na maisha baada ya kifo muda umebaki mchache Sana.

Tafuta kwanza Ufalme wa Mungu na mengine utapewa.Okoka mpe maisha Yako Yesu Kristo Sali na kusifu Kila siku usisahau kufunga mara Kwa mara.Maisha ya Dunia yanapita Usitake kuishi kama walimwengu.
 
Jipende kua msafi, wanawake hawapendi wanaume wachafu wachafu.
Ikishindikana basi tafuta wadada wa Kihaya hua hawakatai jamani wakikataa pia nenda kwenu kaage.
 
Kama unazo labda bahiri pro.
Wenzio tunazikimbia papuchi jinsi zilivyo nyingi na tunapewa bure wewe unazililia kweli serious?
Kama una hela wape hela watakayo nao watakupa mapenzi hadi ushindwe .wenyewe.
Acha maneno mengi ya kujisifu toa pesa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…