Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Hivi kuna mtu yupo single kweli?
Hapana wewe ni mkubwa ila umezidiwa namba tu niwie radh hata wakubwa wanazidianaMkuu unanirudisha utoto.
Mimi hapaHivi kuna mtu yupo single kweli?
hata nikikujibu hautosadikiHivi kuna mtu yupo single kweli?
Hapana wewe ni mkubwa ila umezidiwa namba tu niwie radh hata wakubwa wanazidiana
Nishamtunuku mtu mudaaa. Kuweka vya nini kikaliwe na nyenyere bure kaburiniWewe upoje?
Au ulishamtunuku mtu tayar?
Ndio ndio mchumbaAnagegedana, haimuhusu.
Halafu acha kuuliza wachumba za watu maswali ya kijinga mkuu.
Hivi rafiki yetu si naye ni SM? Kama ni kweli mtoa mada kaongopa
Aiyaaaa nahisi itakua kipindi kilekile mana mmm.Nishamtunuku mtu mudaaa. Kuweka vya nini kikaliwe na nyenyere bure kaburini
Mimi hapaHivi kuna mtu yupo single kweli?
Kipindi kipi hiko? Ilikua jana tuuAiyaaaa nahisi itakua kipindi kilekile mana mmm.
Sio mbaya vile upu hulu ntakua karibu yako uzuri hainaga makombo
Kipindi kile ulikua unalizungumzia sana yani zikufika shingoni nkajua tu alie karibu kwenye fone book atafaudu.Kipindi kipi hiko? Ilikua jana tuu
Usitake kunichekesha mimiMimi hapa
Sasa ucheke nini jamani wakati niko single kweli. Kama una kaka hata niweke shoga anguUsitake kunichekesha mimi
NakojooooooaaaaaaaaaaaaaaMimi hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa
Aaaah itakua sikutoa kipindi hicho.Kipindi kile ulikua unalizungumzia sana yani zikufika shingoni nkajua tu alie karibu kwenye fone book atafaudu.
Na yakupewa ilivyo tammm sipati picha ulivyo msusia utam