Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,197
- 4,558
DodomaAnapatikana wapi huyo Mr Mobile mkuu?
Mimi naishi swekeni, kanda ya ziwa huku ndani ndani kabisa... Mi ni mbushi tuu!
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
DodomaAnapatikana wapi huyo Mr Mobile mkuu?
Mimi naishi swekeni, kanda ya ziwa huku ndani ndani kabisa... Mi ni mbushi tuu!
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
nipo hapa, ni simu gani unahitaji ikufikie popote ulipo?Anapatikana wapi huyo Mr Mobile mkuu?
Mimi naishi swekeni, kanda ya ziwa huku ndani ndani kabisa... Mi ni mbushi tuu!
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Huo utumumiaji wako ukoje yaani unaweza tumia frequently masaa 5 kwnye internet???Mkuu hii simu inakaa na moto siku 7 kama hutumii internet .siku tatu kama unatumia internet.simu ya laki 6 Mungu akupe nini sasa .mpaka ile charger ya kwenye gari nimeitupa kabisa,
Neno kwa huawei p50 series especially kwa p50proWalikuwa wanaleta ila walisitisha corona ilivyoanza, sijajua kwa sasa wapigie.
Fika dukan mzee jana redmi 9 ilikua inauzwa kwa 280000 na note 10 kwa 480000 ( 9ni 64gb ,10ni 128)
+255 759 110 633
Hassan Singano yuko Dodoma
Jamaaa ni mwaminifu sana.Bei zake is reasonable price.wasiliana mkuu.ikitokea shida niambie mkuu
Hivi hawawezi nitumia simu nikiwa Arusha hawa jamaaKenya kama una Connection.
Redmi note 10 pro avechi ni 585,000 sasa hivi.
Redmi note 10 pro bei gani mkuu?nipo hapa, ni simu gani unahitaji ikufikie popote ulipo? View attachment 1876302
Sifahamu Mkuu, Jaribu ku wasiliana naoHivi hawawezi nitumia simu nikiwa Arusha hawa jamaa
Nikichukua Redmi Note 10 Pro ya India nakosa bands zipi hapa bongo. Ile list ya bands nimepotezaSifahamu Mkuu, Jaribu ku wasiliana nao
Ukiwa arusha na bado ukashindwa ipata sim kenya n ka uzembeHivi hawawezi nitumia simu nikiwa Arusha hawa jamaa
Mkoa uliopoTigo shop ya mkoa gani mkuu?
band 20 haina ambayo ni Band ya Tigo nje ya katikati ya jiji. na smile.Nikichukua Redmi Note 10 Pro ya India nakosa bands zipi hapa bongo. Ile list ya bands nimepoteza
simu ipo ok mkuu, tusubirie reviews kwanza, ila hali yao si nzuri, even china wameshatoka top 5.Neno kwa huawei p50 series especially kwa p50pro
Mkuu unategemea hawa wauza mahindi ndio wanunue simu kwenye online platforms hizi. Tatizo sio kupata simu Kenya ila ni kupata ya least possible price na njia ya uhakikaUkiwa arusha na bado ukashindwa ipata sim kenya n ka uzembe
So unashaur nn mkuuMkuu unategemea hawa wauza mahindi ndio wanunue simu kwenye online platforms hizi. Tatizo sio kupata simu Kenya ila ni kupata ya least possible price na njia ya uhakika
So nikikosa band 20 sitapatikana kabisa kwa laini ya Tigo nikiwa mjini kati au sitapata internet connection. Mambo mengine ni the same naona, nikichukua hiyo si napiga custom ROM ya EU nakuwa sawa na EU versionband 20 haina ambayo ni Band ya Tigo nje ya katikati ya jiji. na smile.
Wangekuwa ni duka liko Nairobi ni sawa ila hawa ni wauzaji wa online na stores zao zipo Nairobi ndio. Hawa wauza mahindi hawajui mambo haya unaweza mtuma Note 10 Pro akaleta Note 10 maana zinafanana muundo. Kuna hatari fulaniSo unashaur nn mkuu
Band ni hardware bila shaka sio software kiongozi,unayajua mambo ya rom? Yananinyima usingiz sanaSo nikikosa band 20 sitapatikana kabisa kwa laini ya Tigo nikiwa mjini kati au sitapata internet connection. Mambo mengine ni the same naona, nikichukua hiyo si napiga custom ROM ya EU nakuwa sawa na EU version