Kwanini Simu za Xiaomi hazipatikani kwa wingi Tanzania?

Anapatikana wapi huyo Mr Mobile mkuu?

Mimi naishi swekeni, kanda ya ziwa huku ndani ndani kabisa... Mi ni mbushi tuu!

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
nipo hapa, ni simu gani unahitaji ikufikie popote ulipo?
IMG-20210713-WA0014.jpg
 
Mkuu hii simu inakaa na moto siku 7 kama hutumii internet .siku tatu kama unatumia internet.simu ya laki 6 Mungu akupe nini sasa .mpaka ile charger ya kwenye gari nimeitupa kabisa,
Huo utumumiaji wako ukoje yaani unaweza tumia frequently masaa 5 kwnye internet???

Simu gani hyo unaizungumzia??
 
band 20 haina ambayo ni Band ya Tigo nje ya katikati ya jiji. na smile.
So nikikosa band 20 sitapatikana kabisa kwa laini ya Tigo nikiwa mjini kati au sitapata internet connection. Mambo mengine ni the same naona, nikichukua hiyo si napiga custom ROM ya EU nakuwa sawa na EU version
 
Band ni hardware bila shaka sio software kiongozi,unayajua mambo ya rom? Yananinyima usingiz sana
 
Back
Top Bottom