Kwanini Simu za Xiaomi hazipatikani kwa wingi Tanzania?

Nilienda Tigo ofisi zao wamevaa fulana za Xiaomi ila bado nina wasiwasi fulani, page za Xiaomi zipo kisiri siri, website ya Tigo ni siri siri tu hakuna announcement, hakuna bei etc.

Kwa ambae a najua bei za Xiaomi Tigo atuwekee humu.
Ndio bongo hii ,samsung na page yao ya Twitter au ile ya instagram si full majanga sheikhe ,ukiuliza bei unaambiwa tembelea ofisi zetu sasa si utoto huo
Wanasim chache saja ngoha nikuletee mkeka wa mwez wa tano kiongoZi
 
Mzigo huo

Screenshot_2021-07-31-21-22-19-862_org.telegram.messenger.jpg

Ndio naitumia mkuu haina hata mwezi .kuna jamaa aliniagizia from Dubai. Betry yake ni kiboko amp 5160.ni nzuri sana mkuuView attachment 1875444View attachment 1875447View attachment 1875448
Alikuletea kwa bei gani?

Mimi nina bajeti ya 600k, bongo hapa jamaa ananiambia 850k CHIEF MKWAWA kanishauri kununua alibaba lakini experience hiyo sina, na pia siwezi kusubiria mwezi+ sijapata simu

Option zilizopo ni MI note 10 pro ambayo pia bongo naona wanauza 800k, Samsung A52 ambayo pia bongo 800k

Nipo nipo nafikiria hapa cha kufanya

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kenya kama una Connection.

Redmi note 10 pro avechi ni 585,000 sasa hivi.
 
Alikuletea kwa bei gani?

Mimi nina bajeti ya 600k, bongo hapa jamaa ananiambia 850k CHIEF MKWAWA kanishauri kununua alibaba lakini experience hiyo sina, na pia siwezi kusubiria mwezi+ sijapata simu

Option zilizopo ni MI note 10 pro ambayo pia bongo naona wanauza 800k, Samsung A52 ambayo pia bongo 800k

Nipo nipo nafikiria hapa cha kufanya

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Wewe wadau wanauza mpya a52 mpaka 680 hivi na pia wape watu kazi siku tano hiv mpka ten unaletea sim yupo Mr mobile apo mpe pesa upate simu
 
Simunzuri ila kuna vitu vinamisi sana yaan kukosa super amoled kwa hio simu ni kuitesa yaan,heri nipungukiwe performance ya hio simu kwa kuchukua simu ingine ya xiaomi likepoco f3 ila design nzuri,kamera design nzuri etc
 
Mkuu hii simu inakaa na moto siku 7 kama hutumii internet .siku tatu kama unatumia internet.simu ya laki 6 Mungu akupe nini sasa .mpaka ile charger ya kwenye gari nimeitupa kabisa,
 
Halafu ni 6.7 inches bila kusahau betry 5160 halafu ina Speed ya internet balaa.Line mbili
 
Mkuu hii simu inakaa na moto siku 7 kama hutumii internet .siku tatu kama unatumia internet.simu ya laki 6 Mungu akupe nini sasa .mpaka ile charger ya kwenye gari nimeitupa kabisa,
Nadhan poco f3 ni bora kwa ukaaji wa chaji kuliko hio ,nadhan pia ni mgeni wa ulimwengu wa hawa wachina ( sikufokei) wako njema sana ngoja kaka aje atuambie nini au ipi ipi ingawa kweli kwa performance yake iko juu ila kuna vitu una lack Chief-Mkwawa tusaidie hili
 
Poco F3
gsmarena_400.jpg

Poco x3 pro
gsmarena_460.jpg

Ukaaji chaji ni kama sawa.
-Poco F3 ipo vizuri kuangalia video lakini kidogo imepitwa kwenye kubrowse sababu vioo vya Amoled ni efficient vikionesha rangi nyeusi na vinakula chaji vikionesha nyeupe

-Poco X3 pro ipo vizuri kwenye kubrowse sababu LCD haina shida kuonesha nyeupe ila kwenye video imepitwa kidogo sababu LCD hata ikionesha dark colors inakuwa full mwanga.

Overall F3 ni simu nzuri zaidi Sema na bei imechangamka ina karibia milioni wakati x3 pro ni around laki 6.
 
Amesikia
 
Back
Top Bottom