Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Mishale ya saa inakwenda kasi sana na mbona siku zinendelea kuwa fupi kila kukicha ?
Masaa yanakwenda kwa kasi sana siku hizi. Unakaa kidogo jua limezama, hujakaa sawa joo wanawika kumekucha ! Mshale wa saa unakwenda speed sana kuliko mwanzo miaka ya huko nyuma.
Zamani ilikuwa mchana mtu unakaa sana mpaka unachoka. Usiku ukiingia unalala sana mpaka kumekucha mbavu zimeshaumia vya kutosha. Siku hizi ukiweka mbvu chini, kabla ya kujigeuza tayari alfajiri na kumepambazuka.