Kwanini shule zinafungwa ovyo ovyo?

Kwanini shule zinafungwa ovyo ovyo?

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,670
Reaction score
5,471
Nini kimetokea kupelekea tarehe ya kufungwa shule kubadilishwa kutoka tarehe 4 Disemba 2026 ya awali mpaka mapema tarehe 13 Novemba?

Kuna mtu anazo data na information kuhuwu hili?
 
Kama naweza kuombea wengine dua mbaya na wafe, maana yake naweza kuomba dua njema na mambo yakaenda vyema, niko sahihi mkuu?
Umeuliza swali zuri sana.Nami na kuuliza:Kwani tunapowasomea al-badr/itikafu ili waliotukera yawapate mabaya,tunaweza kuwaombea mema wawe matajiri au waishi kama peponi? Nimekuuliza swali la kijinga ajabu ila jibu tu hviyohivyo.
 
Cjawah kuamini katika albadir/itikafu, karma na upuuzi mwingine kama hizo.

Anyway, yeyote mwenye uwezo wa kuombea baya kwa mwingine ana uwezo wa kuombea zuri au mabadiliko kwa huyo anayemuona n mbaya kumfanya aanze kufanya mazuri
 
Hili swali aulizwe Wanu!

20261002_214037.png
 
Cjawah kuamini katika albadir/itikafu, karma na upuuzi mwingine kama hizo.

Anyway, yeyote mwenye uwezo wa kuombea baya kwa mwingine ana uwezo wa kuombea zuri au mabadiliko kwa huyo anayemuona n mbaya kumfanya aanze kufanya mazuri
Kumbuka, anyway yako imekosa msaada.Utapendelea makande/pure au samaki bwashee?
 
Mkuu wacha walimu tupate tulikizo twa miezi miwili sio kesi kuupumzisha mwili na akili
 
Back
Top Bottom