Kwanini shule zinafungwa ovyo ovyo?

Kwanini shule zinafungwa ovyo ovyo?

Nini kimetokea kupelekea tarehe ya kufungwa shule kubadilishwa kutoka tarehe 4 Disemba 2026 ya awali mpaka mapema tarehe 13 Novemba?

Kuna mtu anazo data na information kuhuwu hili?
Umesikia wapi taarifa hiyo?
Kwa nini hukusikiliza kwa ukamilifu?
Rudi tena huko huko
 
Back
Top Bottom