Tatizo la misukule wa ufipa ni wavivu wa kufuatilia habari yote, pia wana wivu uliopitiliza.
Wanaahidi alafu Wanakuja kuyapinga tena hayo mabadiliko kwa manufaa ya siasa zao uchwara.
Mnapinga maendeleo ya vijana wa Arusha ili iweje??
Shame on you ufipa boys
Hawa wa dodoma wakikumbwa na njaa wanachemsha magunzi ya mahindi na kitoweo chao ni viwavi jeshi , kwahiyo ccm imeamua kuwasambazia bendera za chama , ambazo usiku wanazitumia kama mashuka .Hebu na wewe jiulize,
Vijana wa Arusha wengi wao waendesha toyo (bodaboda) waliikataa CCM yote kuanzia rais, mbunge hadi madiwani lakini ndio waliopewa upendeleo wa pikipiki.
View attachment 442472
Je, serikali ya CCM inatuma ujumbe gani kwa vijana wa Dodoma na sehemu zingine ambao walikesha kuichagua CCM kuanzia rais, madiwani na wabunge wote kutoka CCM, watajisikiaje?
Quinine.
Wakati huohuo waliochagua ccm kwa mihemko ya ukabila na ukanda jana wamefurumushwa makoroboi kama nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto ! Hela za tetemeko kizungumkuti .Tatizo la misukule wa ufipa ni wavivu wa kufuatilia habari yote, pia wana wivu uliopitiliza.
Wanaahidi alafu Wanakuja kuyapinga tena hayo mabadiliko kwa manufaa ya siasa zao uchwara.
Mnapinga maendeleo ya vijana wa Arusha ili iweje??
Shame on you ufipa boys
Kwani Chadema inakusanya kodi igawe pikipiki.
Hv wapinzani wa nchi hii tunataka nini hasa? kilichotoa pikipiki pale Arusha kwani ni chama cha mapinduzi au serikali? Serikali ni ya wanachi wote wasio wana ccm na walio wana ccm.. Haya pia yangefanyika kwenye ngome ya ccm mngesema serikali inabagua wananchi.. Tusiwe tunapinga na kuhoji kila kitu... Nilichogundua watanzania walio kwenye vyama vya upinzani wanataka maendeleo ila hawataki yaletwe na ccm.. Tukiendelea na hii hali hatutafika kokote, tunawakatisha tamaa wale wenye dhati ya kuleta maendeleo kwa kupinga kila kinachofanywa... [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] ni ya woteHebu na wewe jiulize,
Vijana wa Arusha wengi wao waendesha toyo (bodaboda) waliikataa CCM yote kuanzia rais, mbunge hadi madiwani lakini ndio waliopewa upendeleo wa pikipiki.
View attachment 442472
Je, serikali ya CCM inatuma ujumbe gani kwa vijana wa Dodoma na sehemu zingine ambao walikesha kuichagua CCM kuanzia rais, madiwani na wabunge wote kutoka CCM, watajisikiaje?
Quinine.
Kata ya Kati mmepewa Toyo nane chalii angu hazitoshi kununulia hata kilo kumi za gomba kwa dada Asia MwengeArusha sio wote ni ukawa tupowana ccm waaminifu ndo mana Tojo ndo diwani wetu
Madiwani 26Matokeo kutoka Arusha Mjini yanasomeka hivi:
1: Watu waliopiga kura >> 104,353
2: Kura za Godbless Lema (CHADEMA) >> 68,848
3: Kura za Philemon Mollel (CCM) >>> 35,907
Kwa matokeo hayo niambie CCM imekufa Vipi Arusha? unataka kusema hao raia 35,000 waliompigia kura mgombea wa ccm sio wakazi wa arusha?
Hebu na wewe jiulize,
Vijana wa Arusha wengi wao waendesha toyo (bodaboda) waliikataa CCM yote kuanzia rais, mbunge hadi madiwani lakini ndio waliopewa upendeleo wa pikipiki.
View attachment 442472
Je, serikali ya CCM inatuma ujumbe gani kwa vijana wa Dodoma na sehemu zingine ambao walikesha kuichagua CCM kuanzia rais, madiwani na wabunge wote kutoka CCM, watajisikiaje?
Quinine.
Ukitoa kura za wizi na za mikwara ya polisi zinabaki 1200 tu za Mollel.Matokeo kutoka Arusha Mjini yanasomeka hivi:
1: Watu waliopiga kura >> 104,353
2: Kura za Godbless Lema (CHADEMA) >> 68,848
3: Kura za Philemon Mollel (CCM) >>> 35,907
Kwa matokeo hayo niambie CCM imekufa Vipi Arusha? unataka kusema hao raia 35,000 waliompigia kura mgombea wa ccm sio wakazi wa arusha?
Kwahiyo huyo diwani kajichagua mwenyewe au kachaguliwa na watu.Madiwani 26
CCM. 1
CDM. 25
unataka ifeje?
Hiyo ni tafsiri yako ya kiukawa hapa tunaongea na ushahidi. Lete ushahidi wa huo uzushi wako.Ukitoa kura za wizi na za mikwara ya polisi zinabaki 1200 tu za Mollel.