bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,714
Ishiii kamji kazima ka Moshi kamejaa magumegume tupu, wanaume wote Moshi ni wanyonge mimama iliyoshindwa kuolewa ndiyo inatawala mji eti tuhamishie makao makuu ya nchi eboohh..!Nimekaa nikatafakari uzalendo wa Wachaga. Maarifa na akili walizonazo hawa viumbe juhudi binafsi.
Napendekeza makao makuu ya nchi yajengwe Moshi. Nguvu itakayotumika ni ndogo sana na litakuwa jiji la kihstoria katika Africa. Na nafikiri Wachaga wangekuwa hawaishi nchi hii baadhi ya maendeleo ya nchi hii yasingekuwepo
Naomba kuwasilisha
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app