Heee! Kwani Kantalamba (siyo Kantalampa) kuna shida gani mkuu? Mbona shule ipo mjini (Sumbawanga) kabisa. Kama unaongelea shule zilizo katika mazingira magumu, wala hiyo usiitaje maana uta-dilute magnitude ya hizo shida kwa sababu shule ile haina tofauti kimazingira na shule nyingine unazozifahamu zenye mazingira nafuu sana.Shida kuna watu toka wazaliwe hawajui shida humu. Nafikiri mtoa mada hajui vizuri mazingira halisi ya mwalimu. Toka azaliwe "baba mkurugenzi wa madini kanda ya .., mama barozi wa tanzania . "Mtu kama huyu hawezi jua shida inayompata mwalimu wa kitanzania anayefundisha Kantalampa, namanyele, Tanganyika masgati, kibungo juu, na lindi vijijini.
Unapokosa la kuongea jf tulia comment za wenzako f.ala we.
nishakutukana sana ,tena sana japo mimi siyo mwl.mantiki ya hoja yangu ni kwamba ni kwa nini serikali inapoteza fedha kufanya jambo ambalo kiuhalisia haliwezekani? Yaani kumjengea kila mwalimu nyumba ya kuishi hizi ni ndoto na serikali haina huo uwezo hivyo ni kwanini kwa kuwa mwalimu analipwa mshahara kama mwajiriwa mwingine yoyote yule wa serikali asijitegmee kwenye makazi?
yaani mwalimu ataishi wapi isiwe tatizo la serikali bali liwe tatizo binafsi la mwalimu mwenyewe kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine kama manesi, na wengineo ambao wanalipwa mishahara na kupanga chumba!
Nimekuwa sielewi ni kwanini Serikali yetu inatumia fedha nyingi sana kuwajengea walimu nyumba za kuishi? Ni kwanini hiyo fedha tunayotumia kujenga nyumba za walimu tusiziwekeze kwenye kuboresha Shule zetu kwa kuwanunulia Wanafunzi vitabu au hata kuwapa watoto chakula cha mchana badala ya kuwajengea Walimu nyumba?
Nasema hivi kwa maana sielewi mantiki ya kuwajengea walimu nyumba wakati wao ni waajiriwa kama waajiriwa wengine wote na wanalipwa mshahara sasa ni kwa nini jukumu la wao wataishi wapi liwe la Serikali na siyo lao walimu wenyewe?
Mbona wafanyakazi wengine wa Serikali wanajitegemea kwenye malazi?
Ni kwanini Serikali isijitoe kwenye hili na kuwaacha walimu wapange nyumba au wajenge wenyewe kwa kuchukua mkopo kama wakipenda?
Kwa Hesabu tu ya kawaida haiwezekani kwa Serikali kuweza kuwajengea Walimu wote nyumba huku ni kujidanganya na kupoteza fedha ambazo zingeweza kutumika kuwahudumia wanafunzi ambao hawana mahitaji muhimu na isitoshe wanafunzi wengi wanatoka nyumba ambazo wazazi wao hata chanzo cha kipato hawana sasa ni kwa nini Serikali iwahudumie walimu ambao wana wanalipwa mshahara?
wewe ndiyo kichaa. watalipwaje night na hawafanyi kazi usiku? watalipwaje posho na hawana safari wala smina?. kubeba kazi nyumbani ni uvivu wao. masaa 8 kwa siku yanatosha kusahisha, kuandaa somo, lesson plan, scheme of work, kuchapa na kufundisha.
Kwani shule zote ziko mijini ambako kuna nyumba za kupanga? shule iliyoko kijijini kwenu ambako mnakunya porini kama wanyama wasipelekwe walimu? au unataka walimu wakaishi kwenye tembe la babu yako alilolijaza mahirizi na ngozi za alubino?
kantalamba iko mjini kabisa ni kama azania kwa dar es salaam au benjamin mkapaHeee! Kwani Kantalamba (siyo Kantalampa) kuna shida gani mkuu? Mbona shule ipo mjini (Sumbawanga) kabisa. Kama unaongelea shule zilizo katika mazingira magumu, wala hiyo usiitaje maana uta-dilute magnitude ya hizo shida kwa sababu shule ile haina tofauti kimazingira na shule nyingine unazozifahamu zenye mazingira nafuu sana.
Hakuna nyumba za walimu, kuna nyumba za serikali za walimu.
Ushawahi kujiuliza kwa nini kuna nyumba za:
TAZARA
RELWE
UDSM
VETA
BIMA
JWTZ
POLICE
DC
RC
KILOMBERO SUGAR
Taasisi na Mashirika mengi ya umma, yanamiliki nyumba kwa ajili ya wafanyakazi wake.
We Unakichaa, Umejiuliza Kwanini Waalimu Hawalipwi POSHO WALA NIGHT NA WAFANYAKAZI WENGINE WANALIPWA WAKATI KAZI WANAZOZIFANYA HADI KULIPWA POSHO WANALIPWA MSHAHARA? Kwanini Hizo Posho Zisiende Kwenye Ujenzi Wa Barabara Vijijini? Umewahi Kujiuliza Mwalimu Wa Digrii Anapoanza Kazi Analipwa Laki Sita Na Daktari Anaeanza Kazi Mwenye Digrii Hy Hy Analipwa Milioni Moja Na Laki Tano? Kwanini Na Wao Walipwe Pesa Zote Hz?Kwanini Wasilipwe Viwango Sawa Na Waalimu? FICHA UJINGA WAKO.
Nani alikudanganya kuwa ukichanganya lugha utaeleweka au utaonekana kama msomi? Hovyo kabisa! hayo ndio madhara ya elimu duni mliyookoteza katika shule za kata.
Peleka upumbavu wako kwa wapumbavu wenzako, nani alikuambia mawasiliano hupangwa kama kanuni za hesabu? wewe ninani hapa jamvini wa kuwapangia wachangiaji nini cha kuandika? nenda kuzimu na elimu yako ya kuokoteza!Nilimaanisha matusi... Ukitaka ujumbe ulioukusudia ufike vile unavyotaka, zingatia yafuatayo
1. Muda... zingatia muda ambao jamaa unayetaka kumweleza chochote naye awe na muda
2. Mazingira.. Jambo husika unamwelezea mkiwa wapi
3. Mood...
4 Lugha unayotumia kama ni kejeli au la au ni matusi
Kwa sababu mishahara yao ni midogo na ujenzi wa nyumba unaondoa gharama za kila mwaka kwa serikali kulipa mishahara mikubwa kwenye bajeti yake. Chukulia hili kwa nini balozi wetu wananunua nyumba nchi za nje wakati wangeweza kupanga!
Hivyo badala ya kumlipa mwalimu tuseme milioni 3 kila mwezi ili kumwezesha kupanga nyumba ya Milioni 1.5, serikali itatumia milioni 1.5 kumlipa mwalimu kila mwezi kwa miaka yote wakati bado ikihodhi nyumba hiyo. Ni mpango mzuri sana kwa kuzingatia mpango wa muda mrefu ila kiukweli mishahara wanayopewa walimu na Madaktari bado haitazami market value ya pango ili kukidhi matumizi ya kawaida. Walimu na Madaktari bado wanapewa mshahara mdogo sana pamoja na kwamba hukaa nyumba za serikali wakati wabunge mawaziri na watumishi wengine wa umma wanapokea mishahara inayopitiza hata gharama za nyumba na usafiri ukijumlisha.
Peleka upumbavu wako kwa wapumbavu wenzako, nani alikuambia mawasiliano hupangwa kama kanuni za hesabu? wewe ninani hapa jamvini wa kuwapangia wachangiaji nini cha kuandika? nenda kuzimu na elimu yako ya kuokoteza!